Mihimili mitatu: upi unapinga katiba mpya na kwa maslahi gani?

LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,401
1,312
Hivi wana JF katika mihimili mitatu ya dola iliyopo..... yaani the sovereignty of the executive, parliament and judiciary (bunge, mahakama na serikali) muhimili upi unapinga mawazo ya katiba mpya? na kwa maslahi yapi?..... Werema kama jaji, mwanasheria mkuu na mbunge yupo katika kundi lipi la mihimili hii mitatu?
 
werema yuko kundi la executive, mhimili unaotoa sauti kubwa ya kupinga ni executive huohuo kwani ndio unaohusika na utendaji na hivyo sauti yake ni kubwa zaidi. mahakama iko neutral na inapaswa kuwa hivyo ila bunge halijapelekewa muswada kwa hiyo hatuwezi kujua kama linakubali au linapinga
 
Judy... thanks...what are the core interests of the executive..... protect the constitution of the united republic..... and not otherwise..... so why should they object the new draft constitution so bare as if it is their duty to act and enact the law..... i am a mere Tanzanian citizen especially (very native) and i would like to know all this
 
nafikiri kupinga katiba mpya ama mabadiliko fulani ya katiba yanayoonekana sio muhimu ni sehemu ya kuilinda hiyo katiba. labda wajuzi waje wadadavue zaidi
 
Judy .... there is no any price tag for being called wise ...!!! at this moment Tanzanian constitution is tedious and in bizarre lingual it is called "Obsolete"

please my sissy comment
 
kwa hiki nikionacho... rais amelifumbia macho suala hili la katiba.. kwa maana yy vitu ambavyo ni srious issue huwa hatoi ufumbuzi, ndio maana kwa watu ambao ni waledi wa mambo huwa hawamrecognize...hadi leo mkuu wa kaya amefumbia macho katiba. dowans wakati ni issue ambazo zipo hot.
 
Mkuu wa kaya hiyo dowans na katiba vinamgusa pabaya sana. hivyo hawezi kuongea
LAT Tanzania haina mihimili mitatu kama inavyotamkwa kwenye katiba kuwa kutakuwa na mihimili mitatu ambayo muhimili mmoja hautaingilia mwingine katika kufanya kazi zake lengo likiwa ni balance of power. lakini mbunge(muhimili ni parliament) anakuwa waziri (Executive) how? mtu mmoja awe kwenye mihimili miwili? anachopanga na rais kwenye baraza la mawaziri (Executive) aje akipinge bungeni? kamwe halitatokea.
Werema ni kibaraka na anataka Rostam amkaribishe au ampe fadhila kwa kuwalinda. sikutegemea kama msomi huyoa ataweza usema kitu kama hicho.
Tanzania iwe na mihimili mitatu ya ukweli,
 
Siyo ajenda ya chama Tawala,

Wananchi wanataka Barabara, Maji and the likes,

Katiba ni ajenda ya cdm,cuf na ngo

I think the logic is simple for to understand, 2015 chama kitaweka kwenye sera zake ok!

Sasa hivi tunatekeleza sera zilizotupa kura ok! 61% mandate

Sawa wakuu.
 
Siyo ajenda ya chama Tawala,

wewe makamba..... unamaana nchi inaendeshwa na ajenda za vyama....... kweli nimeamini , jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza..... unajua tofauti ya ajenda na sera...... yaani ajenda ni suala ambalo litazungumziwa kwenye mikutano au mikusanyiko...... kweli nyinyi ndio sisiem ambao mnaongoza hii nchi akili zenu zikiwa uchi na zina ncha kali....... wana JF ..hivi nikisema hii ID ni ya makamba nitakua nimekosea
 
Hakika ni ya Makamba.Nakuunga mkono. Kwai hauoni ujumbe wake ulivyokaa kimakamba makamba
 
Judy... thanks...what are the core interests of the executive..... protect the constitution of the united republic..... and not otherwise..... so why should they object the new draft constitution so bare as if it is their duty to act and enact the law..... i am a mere Tanzanian citizen especially (very native) and i would like to know all this
Kwa sababu wamekula kiapo cha kuilinda katiba iliyopo , hivyo wana haki ya ku object ....
 
simple logic: negation of negation = True

mkuu..... object the rights of citizens? hiyo ni kuilinda katiba....... kulinda na kuitetea katiba ni nini...... kuhakikisha sheria na kanuni hazivunjwi..... kwa hiyo wanaodai katiba wanavunja katiba au..? vipi bana
 
Back
Top Bottom