Midnight Whispers

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
In the middle of the night
I searched for you
Sweating and panting
Praying and waiting
For you to come!

I longed for your touch
Those midnight whispers
Alone and frightened was I
Dreaming of your return

Tears flowing,
In the dark corner of my room
My hands holding my knees
Like an abandoned groom
Calling the angels to protect you
Where are you my love?

You came into my life
Brightened everything
Giving me hope for the future
and smiles for a thousands reasons!
I'm still so deeply, crazily, and madly
In Love!

Where are you my queen
The champion of my heart
The Worrier of my dreams
Forever guardian of my hopes!

By. M.M. Mwanakijiji (The Voice of the Village)
 
Duh! yaani uko fasta hivi? Umeshamtungia mtoto wa watu GS shairi.....gademu!

si wewe ndio umesema vitungu hivi vinavutia ndege tunduni? ila wewe unampa tishio mtu mwenyewe aliyedondokewa maana anaweza kuniona miya "noma"..
 
Mwanakijiji uko fasta si haba...........Sa hizi naona uko bize Chart room....Kila la heri
 
ungejua siingii kwenye chat hizi hujui tu; ukiondoa watu wachache ambao tunasalimiana nakwepa kweli haya mambo ya kujifungia chumbani na mke wa mtu mtakuja bambwa iwe soo.. ! Nilishasusiwa mtoto sitaki tena.
 
Hahaaaaaaaaaa.....Pole mkuu
 
Msaada kwenye tuta. Naomba mtu anaejua kodi ya gari aina ya benz tz ni kiasi gani jamani. Tupo pamoja wana JF
 
Duh! yaani uko fasta hivi? Umeshamtungia mtoto wa watu GS shairi.....gademu!

ha ha ha.Nyani Ngabu kwa uchokozi.Ila usije ukaiba tu mistari ya Mwanakijiji,maana ulishasema kuwa wewe ni kilaza wa kuandika mashairi..Huna lolote unavizia kuiba..ha ha ha.Plagiarism
 
Na ungejua jinsi jamaa alivyokuwa lifesaver.....mwenzenu siku hizi naonekana ni mtu ninaye care sana. Namwagiwa misifa kem kem.....ni muhimu kuwa na watu kama Mwanakijiji.....sasa ngoja nikateme mistari miwili mitatu ya midnight whispers...lol
 
Ha ha ha!Nyani Ngabu umenichekesha kweli nilifikiri utakana..Life Saver Mwanakijiji..Mmh basi Mwanakijiji anasifa nyingi ndani ya JF,adumu milele kwani anaokoa maisha ya watu..
 
Mwanakijiji kuna shairi lina tittle ya "Kitumbua" by funzadume ni jibu la "sambusa" hebu tupia macho hujibu mistari
 
Am here baby,
please come
hold me tightly
because I have missed u so
i had fallen a sleep and
i dreamt, you are searching for me
 
Na ungejua jinsi jamaa alivyokuwa lifesaver.....mwenzenu siku hizi naonekana ni mtu ninaye care sana. Namwagiwa misifa kem kem.....ni muhimu kuwa na watu kama Mwanakijiji.....sasa ngoja nikateme mistari miwili mitatu ya midnight whispers...lol

sikukuelewa hapa mwanzoni.. lakini nimekupata nimecheka saana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom