Michepuko inaniacha na kunirudia

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Habarini wadau,

Jamani kuna inshu hapa inanitatiza,

Mimi nina mwanamke ambae baadae atakuja kuwa mke wangu na nimezaa nae mtoto mmoja, ila kwa muda mrefu tunaishi mbalimbali mimi nikachepuka kwa msichana wa kwanza nimeishi nae lakini mwisho wa siku kaanza visa akaniacha nikapiga moyo konde na nikamsahau lakini mwaka huu kaomba nimrudie nikamkubalia lakini nikamwambia mi tayari nina mke sitaweza kumuoa, akasema sawa hata yeye anamchumba wake lakini naona kaanza tena masula yake ya zamani.

Pia nina mchepuko mwingine ambae alidhani nitamuoa lakini nikamwambia mi nina mchumba na mtoto, akatulia tukaishi lakini hivi karibuni mwezi uliopita kanitumia msg nyingi za kashfa na kuniambia nikome kumpigia simu wala kumtext mi nikamjibu sawa lakini juzi ananitumia SMS eti zile hasira tu bado ananipenda, jamani hawa wanawake wananitafuta nini mi nkijaribu kuwasahau na kuwatoa moyoni wanajileta tena kwangu.
 
13413316_573052812864366_1508045916_n.jpg
 
Na huyo mke mtarajiwa nae anamchepuko wake huko unamwacha na kumrudia
 
Habarini wadau,

Jamani kuna inshu hapa inanitatiza,

Mimi nina mwanamke ambae baadae atakuja kuwa mke wangu na nimezaa nae mtoto mmoja, ila kwa muda mrefu tunaishi mbalimbali mimi nikachepuka kwa msichana wa kwanza nimeishi nae lakini mwisho wa siku kaanza visa akaniacha nikapiga moyo konde na nikamsahau lakini mwaka huu kaomba nimrudie nikamkubalia lakini nikamwambia mi tayari nina mke sitaweza kumuoa, akasema sawa hata yeye anamchumba wake lakini naona kaanza tena masula yake ya zamani.

Pia nina mchepuko mwingine ambae alidhani nitamuoa lakini nikamwambia mi nina mchumba na mtoto, akatulia tukaishi lakini hivi karibuni mwezi uliopita kanitumia msg nyingi za kashfa na kuniambia nikome kumpigia simu wala kumtext mi nikamjibu sawa lakini juzi ananitumia SMS eti zile hasira tu bado ananipenda, jamani hawa wanawake wananitafuta nini mi nkijaribu kuwasahau na kuwatoa moyoni wanajileta tena kwangu.
Mkuu umewahi kuangali movie ya johari na Kanumba?...ndio hayo unayoyatafuta wewe. USIKUBALI kurudiana na mwanamke wa zamani bila kucheck afya mara nyingi wanakua wameathirika...Pili wale waliokuwa wanawapa kiburi inakuwa wamewaacha ndipo wanakumbuka wapi kwa kupata msaada ndio wanakukumbuka wewe..wala si kwamba wanakupenda kwa dhati la hasha. Amka usingizini mkuu
 
Sifa ya mwanamme sio kurudiwa na michepuko.

Sifa ya mwanamme ni kuwa na familia anayoitunza kwa kila kitu na kuwa na miradi ya kumuingizia hela itakayokimu familia hata akiondoka duniani hawatahangaika kutafuta mahitaji yao.

Sasa bila matusi naomba uji rank mwenyewe kama upo miongoni mwa wanamme. Kuoa hujaoa una baby mama tu ambae ana wenzie 2. SMH.
 
Habarini wadau,

Jamani kuna inshu hapa inanitatiza,

Mimi nina mwanamke ambae baadae atakuja kuwa mke wangu na nimezaa nae mtoto mmoja, ila kwa muda mrefu tunaishi mbalimbali mimi nikachepuka kwa msichana wa kwanza nimeishi nae lakini mwisho wa siku kaanza visa akaniacha nikapiga moyo konde na nikamsahau lakini mwaka huu kaomba nimrudie nikamkubalia lakini nikamwambia mi tayari nina mke sitaweza kumuoa, akasema sawa hata yeye anamchumba wake lakini naona kaanza tena masula yake ya zamani.

Pia nina mchepuko mwingine ambae alidhani nitamuoa lakini nikamwambia mi nina mchumba na mtoto, akatulia tukaishi lakini hivi karibuni mwezi uliopita kanitumia msg nyingi za kashfa na kuniambia nikome kumpigia simu wala kumtext mi nikamjibu sawa lakini juzi ananitumia SMS eti zile hasira tu bado ananipenda, jamani hawa wanawake wananitafuta nini mi nkijaribu kuwasahau na kuwatoa moyoni wanajileta tena kwangu.
Naww unategemea kuja kuwa baba bora(kchwa cha family)?
 
mmmh mkuu embu ngoja kwanz nadhni ukimwi uko karibu na wewe mana hkuna namna

au labda unatoa adhabu wakati wa kula papuchi na sio starehe mana wadada wa siku hizi hawa
 
wagegede tuu mwanawane...ata mkeo wapo watu wanagegeda...chezea wanawake wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom