Michapio hatari

duh! hapa ranking ya michapio mikali ni hii.
1.swali: umeshawahi kumsikia samaki juu mtu chini binadamu
kisha
2. ndama akiwa mtu mzima anaitwaje?
3. mavi ya ng'ombe haya kanya nani?
 
We mama Happy, nimekwambia huyo mtoto ajisaidie kwenye hotpot lakini we bado unamweka chini. Sasa nimenunua la nini?
 
Nduku sangu! lewo ni kufuraayi mbaka kukuche hapa. Nyansebo asa kuimbisa manyimbo kwa ngufu, na sisi tutapika makofi.
 
...... taarifa zilozotufikia hivi punde zinasema kwamba, ajali hiyo imetokea katika barabara ya Morogoro road........
 
Back
Top Bottom