Miaka 50 wazee wastaafu wa EAC ya zamani wametapeliwa mafao yao.....

gizalucky

Member
Aug 5, 2011
44
10
ndugu wadau kweli hii ni haki??
kusherehesha uhuru bilioni 64
kulipa posho za wabunge....ongezeko >100%
kukimbiza mwenge.....
kuendeleza shule.....
kuendeleza huduma za afya......
kulipa mishahara mizuri......
kulipa wastaafu mafao yao.......
je kipi ni priority in tanzania??

tafakari:lol:
 
ndugu wadau kweli hii ni haki??
kusherehesha uhuru bilioni 64
kulipa posho za wabunge....ongezeko >100%
kukimbiza mwenge.....
kuendeleza shule.....
kuendeleza huduma za afya......
kulipa mishahara mizuri......
kulipa wastaafu mafao yao.......
je kipi ni priority in tanzania??

tafakari:lol:
We acha tu...! Hawa wazee wamekosa watetezi kwa kweli. Mimi binafsi mama yangu alifanyakazi kuanzia 1971 mpaka 1978 na alitakiwa kulipwa kuanzia milioni 100 na kuendelea kutokana na riba ya miaka yote hiyo lakini aliambulia milioni 2 za usafiri na laki 3 za mafao wakati wa Mkapa. Katika vitu ninavyoweza kumlaumu mwalimu Nyerere kimoja wapo ni hicho kwa sababu hizo hela za mafao tulipewa nchi zote za eac na malkia wa uingereza lakini ni wafanyakazi wa kenya na uganda tu ndiyo waliolipwa na serikali zao mara baada ya jumuiya ya east afrika kuvunjika..!
 
Back
Top Bottom