Miaka 50 Uhuru, Zaidi ya Billioni TSH 50 Kwenye Sherehe na Umeme kupandishwa 155%

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Inakera sana kusikia kwamba matayarisho ya siku moja ya kusherekea uhuru yatagharimu zaidi ya Tsh. Billioni 50, hela ambazo hatuna wakati hatuwezi kuwa na umeme wa uhakika. Tunapandishiwa gharama kwa 155% hivi hii serikali inafikiria nini? wananchi tusipoamka basi tunakwisha. huu ni upuuzi ambao hatuwezi kuuvumilia hawa viongozi ni washenzi kweli. Wanaume mkishindwa, siye wanawake tutaweza
 
...Na wakati huo huo Serikali inadaiwa na TANESCO shilingi bilioni 87!!! Deni ambalo ni la miaka chungu nzima. Kweli Kikwete ni kiongozi bora!!!!
 
Serikali ya Kikwete imekuwa serikali ya Kise-nge sana, samahani lakini huo ndo ukweli. Rais hata mwanamke afadhali heri niwe rais kuliko Kikwete aendelee kuongoza nchi
 
Ndiyo kawaida yetu waswahili, kuandaa chakula kingi na kitamu wakati wa sherehe, ambacho huishia kukimwaga,na kesho yake kulala njaa .
 
Sijuhi mwezi huu kama ntapata hata kasalary make wanasherehekea alafu watwana mnakopeshwa mshahara hadi january...vpi wazee wa maguruneti alshabab hawatakuwepo uwanjani?
 
Bilioni Hamsini!

Wabongo tuna utani eeh? Hizo sherehe zinaongeza nini kwenye taifa hili? Haya bwana acha watu waendelee kujenga mihekalu na kuongeza msongamano barabarani.Sisi tunaokamuliwa PAYE tuendelee kulala kwenye mavumbi pale THE NATIONAL HOSPITAL. Puuuuh.Muhimbili in 50 YRS!?
 
dawa ya magamba ni fumigation. siku inakuja
 
Inakera sana kusikia kwamba matayarisho ya siku moja ya kusherekea uhuru yatagharimu zaidi ya Tsh. Billioni 50, hela ambazo hatuna wakati hatuwezi kuwa na umeme wa uhakika. Tunapandishiwa gharama kwa 155% hivi hii serikali inafikiria nini? wananchi tusipoamka basi tunakwisha. huu ni upuuzi ambao hatuwezi kuuvumilia hawa viongozi ni washenzi kweli. Wanaume mkishindwa, siye wanawake tutaweza

Tanzania NI ZAIDI YA UIJUAVYO! Mimi nilishajitoa huko, MIMI NI MTANGANYIKA!
 
Kumbe sıkuhızı wanawake mnaweza hata bıla ya kuwezeshwa!
Mkıthubutu kuıpga chını CCM kwa kupga kura paspo kuangalıa sura ya mgombea na kujırahısısha kwa kanga na chumvı, ama hakıka Tanzanıa yenye neema wanawake mtaıona!
 
Hii ni balaa lingine,
Si bora hayo mahela wangejenga Hospitali ya akina mama Mtwara au Kigoma au sehemu yeyote ya nchi hii,
5Dr Kikwete, tuonee huruma basi sie maskini wa nchi hii, duuuh
Au kama vipi hizo hela si bora ungewalipa waalimu madai yao ya 47bilion na chenji ungebakiwa nayo!!!
Mkulu, au ungelipa tu lile deni la Tanesco, mgao mahospitalini ungekwisha au kupungua
JK,kweli unatutenda wenzio, toba
 
Kumbe sıkuhızı wanawake mnaweza hata bıla ya kuwezeshwa!
Mkıthubutu kuıpga chını CCM kwa kupga kura paspo kuangalıa sura ya mgombea na kujırahısısha kwa kanga na chumvı, ama hakıka Tanzanıa yenye neema wanawake mtaıona!

Kikwete sijui ni mtu wa aina gani. huyu mtu ni bora hata hasingezaliwa. ametuleta pabaya kweli
 
Back
Top Bottom