Miaka 45 Baadaye. Wako wapi hawa?

Mwanakijiji ninavyosoma post zako unaonekana uko informed kwa mengi, siamini kwamba humfahamu Bhoke Munanka.

Si unamjua tena Mwanakijiji kawaida yake kuplay mind games. Huyu Bhoke Munanka ni mtu ambaye amekuwa hasikiki kabisa kwenye siasa siku za karibuni yaani hata watoto wake (kama anao) siwasikii kabisa ila hakuna malalamishi kuwa Nyerere ndiye amemfuta kwenye historia ya Tanzania (labda kwa sababu wote ni wa musoma).

Kuna uwezekano mkubwa kabisa wa kusahau, kutojua, au kutotaja jina la kiongozi au mmoja wa wapigania uhuru na sidhani kama ni vyema kila hili linapotokea watu walalamike au kufikiria mchezo au nia mbaya ya anayehusika.
 
Unajua kuchangia kuhusu viongozi ili kuwajua majina yao pasipo kufahamu kwa kina kwamba waliasisi vipi taifa, ama walifanya nini,inakuwa haimake sense.

ili tuweze kuwahesabu kwamba ni waasisi wa Taifa hatuna budi kuangalia kwamba nini kinachowafanya waitwe waasisi,bimaana lazima tuangalie na legacy zao, otherwise tutakuwa na listi tu za majina kama listi ya Maximo na kikosi chake cha taifa stars.

Besides, mada huzaa mada, kisha mada nayo ikazaa mada huo ndo mchepuko wa mijadala, mijadala mizuri ni ile ambayo ni "Dynamic", siyo "Static"

Mkuu Mwanakijiji,

Heshima kwako! Nilikuwa najaribu kumsihi Gamba la Nyoka kuwa kwa mtazamo wake wa kutaka tuangalia kinachowafanya tuwaite waasisi kwa kuwachambua, basi hatutafikia lengo lako la kuwaorodhesha na kujua wako wapi sasa. Maana kila mtu anaweza kushindwa ku qualify kutokana na kutokukubalika mchango wake na wengine...pengine kwa kutokujua mchango alioutoa mhusika au kwa tofauti ya kiitikadi. Ndiyo maana nikauliza maana hasa ya neno hili la muasisis.

Lakini pengine ni vema tukaendelea kuwaorodhesha kuliko kurudishwa nyuma na watu wanaotaka credibility za waasisi kuitwa hivyo.
 
FMES,Keil
Habari hizi zinapatikana hapa:
http://en.wikipedia.org/wiki/Oscar_Kambona
Kama issue nzima iko km ilivyoelezwa hapa, basi nadhani Kambona alikuwa right! MIMI SIYO MZURI SANA WA HISTORIA ILA NINACHOWEZA KUSEMA KUWA KAMBONA ANAWEZA KUWA ALIKUWA ANATAKA KUMPUMBAZA NYERERE ILI AJE AMTOE MADARAKANI KIULAINI ZAIDI. SIDHANI KAMA MWALIMU ALIKUWA NA ROHO MBAYA KIASI CHA KUMSAHAU KABISA MTU AMBAYE ALIWAHI KUMSAIDIA MAISHA YAKE WKT MGUMU KM ULE AMBAO JESHI LILIKUWA LIMEGOMA!
Unaijua personal self inavyofanya kazi? Kuna vitu vingine mtu anakufanyia huvisemi kwa mtu mwingine yeyote yule mpaka sk utakapokutana na Mungu, maana hata ukimwambia binadamu hawezi kuvikubali kuwa ni kweli, atajua unamdanganya. NYERERE NA KAMBONA WAO WANAJUA WALICHOFANYIANA AU WALICHOTAKA KUFANYIANA, sisi huku tunachojua ni kivuli chake tu, or rather the political part of it!
MIMI NADHAN HUYU ALIKUWA ANAOGOPA KUWA OVERTHROWN, NA HUYU MWINGINE NAYE ALIKUWA ANATAKA KUOVERTHROW PASIPO KUJIONYESHA KUWA ANATAKA. WAKATI WA ARMY MUTINY NDIYO ALITAKA AMPOTEZE LENGO KABISA MWENZAKE, ILI BAADAYE AJE AMKAMATE KISAWASAWA. MIND U HATA KIPINDI HICHO VYOMBO VYA USALAMA VILIKUWEPO!

Wakuu,
Wikipedia sio mahali pa kwenda kutafuta data. Data wanazotoa huku inabidi usome mara mbili mbili na kuziangalia kwa makini. Msomi yeyote hawazi kutumia wikipedia kama source kuandika historia. Kutoa mfano mmoja, watch dog moja ilikuja gundua kwamba jamaa wa CIA walikuwa wanaandika uongo kuhusu Iran/Ahmadinajan kwenye wikipedia.
 
Kwa maoni yangu binafsi. Miaka 45 ni ya uhuru wa Tanganyika. Na kinachoneka hapa ni siasa za waliodai madaraka kutoka kwa wadhamini waliowekwa na umoja wa mataifa.

Tanganyika kama legal entity ilianzishwa baada ya ujerumani ku-saini The Treaty of Versailles (1919). Katika mkataba huu, ujerumani ilipoteza makoloni yake na mwingireza akabadilisha jina kutoka ujerumani ya afrika mashariki kuwa Tanganyika.

Kwa mtaji huo hakuna mwasisi wa Tanganyika, kwa sababu taifa lilikuwepo kabla ya wanaoitwa waasisi kuzaliwa.

Kama vile Nelson Mandela hawezi kuitwa mwasisi wa Afrika kusini, Nyerere na wenzake hawawezi kuitwa waasisi wa Tanganyika. Walichoasisi wao ni TANU.
 
KUMBU KUMBU HAFIFU........WENGI kama sio wote SIWAJUI...ok! sio vizuri11 Tuna hitaji kuwa fahamu...Tujenge shule za misingi Kwa Majina yao...
 
Bin Maryam,

uko sahihi. baada ya kuondoka Mjerumani, Tanganyika ilikuwa chini ya League of Nations. Tanganyika haikuwa koloni. Muingereza alikuwa mdhamana tu.

Inawezekana kabisa kwamba "UHURU" lisiwe neno sahihi kuelezea kilichopatikana December 9, 1961.

Mwanakijiji,

Bhoke Munanka aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani ktk serikali ya Tanganyika ua Tanzania.
 
Mwanakijiji,
upo serious kuhubu Munanka au?

Wafuatao ndio baadhi ya wanadiplomasia wa kwanza nje ya nchi. Wao walikuwa UN:

Michael Lukumbuzya, Sebastian Chale, C.Y. Mgonja, na Erasto Mang'enya. Ninaona hawa walifanya kazi nzuri.

Chief Lukumbuzya alikuwa mmoja wa wakwanza kama sijakusea. Alipelekwa New Zealand kufanya training halafu ndio akapelekwa UN.
 
Aiseee watu wa zamani kwenye jukwaa la celeblities mlikuwa mnajadili hadi siasa?

Kina Kiba na wenzake hawakuwa maceleb?
kama ndo hivo basi mods hawakuwepo
 
Aiseee watu wa zamani kwenye jukwaa la celeblities mlikuwa mnajadili hadi siasa?

Kina Kiba na wenzake hawakuwa maceleb?
kama ndo hivo basi mods hawakuwepo
Mida hiyo mastar wa sasa wapo shule za msingi wengine mida hiyo wanajikojolea bado...dah
 
How do we know that Nyerere was the best thing? See the problem I have with folks who regard Nyerere highly is that we dont the alternatives, at his time, to make a logical, objective comparison. I am not even sure if we know Nyerere for who is or what he wanted Tanzanians to believe. He managed to create an aura of admiration and worship. He created an atmosphere where no one would question his ideas.

Remember the days when we couldnt read anything other than Uhuru, Mzalendo, Daily News and Sunday News before Mfanyakazi came into existence to provide some kind of an entertainment relief? You remember the days when the 8:00 PM RTD news bulletin would be followed up by a Ujumbe wa Leo propaganda? I have to give it up to Nyerere. He ensured that Tanzanians couldnt run or hide from his ideology. If you feed someone junk for twenty (20) years, they would believe that crap. He even went as far as insulting our intelligence by putting a hoe against himself in the election. A hoe or a hammer, can you believe that? Who elects a hoe as the president?

What ticks me off is the fact that he forced us to sing derogatory songs against Oscar Kambona. We sang this tune during our morning mchakamchaka routines in High School, Kambona ameolewa! Wapi?! Wapi?! Uingereza! Was Kambona really that bad? What is the historical truth?

When the TANU National Executive Committee met in Arusha January 26-29 1967 it turned out to be a stormy session. At this meeting Nyerere proposed that Ujamaa become the official policy of the government. Oscar Kambona objected strongly to this policy. Twice during these sessions, the Executive Committee adjourned in order to allow their three leaders, Nyerere, Kambona and Kawawa to go into private session. Each time that they returned to the Executive Committee it was apparent that Kawawa had supported Nyerere to defeat Kambona. The result was that the Arusha Declaration was adopted.

It gets me mad to realize that I actually sang derogatory songs against an individual who did nothing wrong. If at all, his crime was to express his opinion against Nyereres utopian dreams. The worst part is the fact that the introduction of free market economy has proven that Kambona was right and Nyerere's ideas were just a disaster in the making.

This artile is not whether Kambona was better than Nyerere, and vice versa. It is intended to push us into taking a very hard look at our history and what we have been long taught and gauge whether our perspective and perceptions are correct. But in order to effectively do that, we have to be objective and let go of our political biasness. Unfortunately, the Tanzanian history is tangled with Nyereres legacy.

In order for us to create the right future, we have to unearth some of the wrong foundations and beliefs that we have held on for so long. I dont want my children to grow up thinking that Nyerere was the best think that has ever happened to Tanzania, while that could not an objective assessment. I dont want my kids to grow up thinking that Oscar Kambona, Mzee Mapalala, or Kassanga Tumbo were villains simply because they didnt fit into Nyereres thinking. That is the point.

I strongly believe that we owe it to ourselves to query as to whether the little we know, particularly on Kambona's disagreement on Ujamaa, is enough to sideline this man and negatively portray his contribution the way Nyerere did.
Feild Masrshal ES wazee wa Sauti ya Umeme You Know Hahaha I'm Super humble.
 
Mzee Mwanakijiji

Mimi nafikiri hao watu ni marehemu kiumbo tuu na vingine vyote vinaishi bado na sana sana huyo wa kwanza na mimi kwa MAONI (maoni yangu!) yangu naamini kabisa kuwa ndiye aliyeifikisha nchi yetu hapa ilipo kuanzia alipounda serikali yake ya kwanza alifanya makosa makubwa sana ambayo ndio yanayoiangamiza nchi yetu leo hii,

na mimi binafsi sioni lelote la maana alilolifanya kwa muda woote aliokua madarakani...na ninaamini kuwa anapata sifa asizozistah/ili, najua nitapingwa sana kwa hilo hapa jf na nipo tayari kuweka hoja zangu kupambana na woote watakaokuwa wananipinga.....

Mtu sahihi unayemtaka wewe alikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom