Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Ku
Nikajua utaweka miradi na mambo nmengine kumbe unaongea pumba tuu.

Nitajie fisadi hata mmja ambae aliwahi fungwa na Serikali ya Magufuli.

Samia amefunga bosi wa UDA,amemfunga DED mwisho wa Arusha wote hao walikuwa wezi na wanalelewa na Magufuli.

Amemshikisha Adabu Sabaya and the likes.

Mwisho kabisa Kwa miaka 3 ya Samia Mapato ya TRA yameongezeka kutoka 1.4T mwaka 2020/21 Hadi 2.2Tr mwaka 2023/2024.

Kiufupi Samia kaongeza bil 800 ndani ya miaka 3 wakati Mwendazake aliongeza Bilioni 500 tuu Kwa miaka 5.

Mpaka hapo ni sahihi kabisa kusema Samia ni mlima.na yulekurupukaji ni kichuguu.

View: https://www.instagram.com/p/C1h1XRQo_Dc/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Mkuu kuuza bandari pamoja na eneo la makzi ya watu ngorongoro, Hela itashindwa kuongezeka mkuu.
 
Hapo ndugu umemvunjia heshima JPM. Unawezaje kumlinganisha JPM na Mama?
Hapo si sawa kabisa na kulinganisha Mamba na Mjusi?
JPM alikuwa na mwendo wa Chui, Mama ana mwendo wa Konokono, unawezaje kuwalinganisha?
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.
Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.
Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.
Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu. Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.
Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.

Tumeshitakiwa MIGA?
 
Raisi anaomba anaelekeza uliona wapi hata hizi ni dalili za kulea wajukuu na wakwe!
 
Umeshapita Busisi ukaona kazi zinavyofanyika?

Huyu Mama amepambana haswa Mzee aliacha mamiradi makubwa utafikiri nchi inaenda kutoweka soon, mega projects kibao na bado human capital inatakiwa kuendelezwa, ajira mpya,mishahara kupanda, vyeo etc.

Mama amepambana haswaa hakuna alichoanzisha Mzee kimesimama. Hapa wenye roho mbaya mtakwepa kuusema huu ukweli.
acha kubishana na mapuguani kama huyo. Yule Mzee alisimamisha ajira miaka 6 na akasimaimsha mishahara isipande miaka 6 eti ana miradi muhimu ambayo wengine hawezi, leo ajira zimefunguliwa, mishahara inapanda, boom lipo kwa wasomi na miradi yote aliyoacha hayati inaenda, na chadema pia ruksa kupiga kelele yule bwana yeye ndio rais eti mikutanoya ndani na nje vyama vingine marufuku. Huyu mama yuko vizuri mu kichwa mzigo aloachiwa ni mkubwa mno tusitegemee muujiza. Hizo pesa za ndani za miradi hazikonekana tangu tarehe 18/3. na kazi inaendelea.

zi
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.
Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.
Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.
Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu. Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.
Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Vipi bwana; nina uhusiano gani kati ya Magufuli na Samia. Unanitafuta uchokozi?
 
Hiyo miaka mitatu rais Samia hajatimiza.Acha uongo.

By far, Samia is the best.
 
Umeandika vizuri ukweli ni kwamba kwasasa hapa hakuna Rais zaidi ni bomu Tena la kienyeji.taarabu nyingi vitendo zero. Huwezi kupewa heshima na mungu ya kuongoza Watanzania halafu ukaishia kuwafilisi kwa kula starehe. Ondoka tuachie nchi yetu bana
Aibu yenu 😁😁😁😁

-Wastani wa makusanyo Kwa mwezi Kwa miaka 5 ya Mwendazake 1.4T

Difference 1.4T-0.8tr=0.6T(bln 600)

-Wastani wa Makusanyo Kwa Mwezi Kwa miaka 3 ya Samia ni 2.3T

Difference 2.3T-1.4T=0.9T(bln 900)

Mpaka hapo Bomu limejulikana 😆😆

View: https://www.instagram.com/p/C1kSOW5oS1K/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
My Take:Usilinganishe Samia na mbumbumbu wa Uchumi

View: https://www.instagram.com/p/C1h1XRQo_Dc/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.
Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.
Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.
Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu. Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.
Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Rais tuchague mwakani 2025,siku zote ukiweka watu tena wasio na akili ili wafanye kazi ya kuchafua kazi nzuri iliyofanywa na mtangulizi wako huwezi pata baraka yoyote,ndio wanachofanya akina Samia na wenzake kuharibu legacy ya magufuli,shida iko hapo badala ya kufanya kazi yako ionekane tunachoona ni kwambawatu hawafanyi kazi zaidi ya kufisadi fedha za UMMA kwa kasi iliyotukuka kwa mujibu wa CAG.
 
Au siyo? 😁😁
Screenshot_20221119-094007.png
Screenshot_20221119-093841.png
 
Nikajua utaweka miradi na mambo nmengine kumbe unaongea pumba tuu.

Nitajie fisadi hata mmja ambae aliwahi fungwa na Serikali ya Magufuli.

Samia amefunga bosi wa UDA,amemfunga DED mwisho wa Arusha wote hao walikuwa wezi na wanalelewa na Magufuli.

Amemshikisha Adabu Sabaya and the likes.

Mwisho kabisa Kwa miaka 3 ya Samia Mapato ya TRA yameongezeka kutoka 1.4T mwaka 2020/21 Hadi 2.2Tr mwaka 2023/2024.

Kiufupi Samia kaongeza bil 800 ndani ya miaka 3 wakati Mwendazake aliongeza Bilioni 500 tuu Kwa miaka 5.

Mpaka hapo ni sahihi kabisa kusema Samia ni mlima.na yulekurupukaji ni kichuguu.

View: https://www.instagram.com/p/C1h1XRQo_Dc/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

HAmna kitu, Samia haman raisi, kapuyanga sana.
 
Acha UONGO kwani baba yako Magufuli aliyaacha hayo majengo yamekamilika ???

Rais Samia ame/ ana pambana na SGR , barabara, meli, ndege , daraja la Tanzanite kamalizia, daraja la busisi anakamilisha na mambo mengine mengi.

Sema mwendazake aliwaroga sana kwa kelele zake na show off kitu ambacho Samia hataki.

Ukifuatilia vizuri kwa jicho la usawa bila chuki basi Samia amefanya mengi mazuri.

Shida ninayoiona kwa Samia ni hali ngumu ya maisha kwa watu wa hali ya chini hasa vijijini.
Acheni unafiki na porojo zisizo na msingi, wa TAnzania unafiki mtaacha lini? yani we unataka kushawishi watu as if sio wa Tanzania na hawa experience mabadiliko wayaonayo, ni kama gari inapita unamwambia mtu ni baiskeli hali ya kuwa ana macho anaona ni gari we unakazana kumfanya aamini ni baiskeli.

JPM is on another level usimuweke kwenye show za kitoto kama hizi.
 
Another level mdomoni kwako au another level Kwa figures na actual?

Tuoneshe hizo another level za Mwendazake,mfano za Samia ni hizi hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/C1Eih3pNx1H/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

View: https://www.instagram.com/p/C0JFPceteBv/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Kabla ya Mwezi Wa 6 , Uzinduzi wa Samia Housing Scheme Phase 2 utafanyika Dom

View: https://www.instagram.com/reel/C1Z8RWPNEjI/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Usilinganishe Samia na mbumbumbu wa uchumi
 
Sasa wewe unadhani ulisema kapuyanga na takwimu zinakukataa itakusaisia nini?

Haters hata mfanyaje you won't change the course 😁😁

View: https://www.instagram.com/p/C1kSOW5oS1K/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Porojo za kipuuzi ndio hizi, umeme mgao mwaka mzima, mfumuko wa bei, pesa imeshuka thamani, yani ni majanga, uaniletea vi screenshot vya kipuuzi, wa Tanzania wanataka kuona matokeo, kuona mabadiliko in real life huku kwa ground sio kila siku kutaja billions na trillions ambazo utaishia kuzisikia tu.

This time around hatuna kiongozi.
 
Acha UONGO kwani baba yako Magufuli aliyaacha hayo majengo yamekamilika ???

Rais Samia ame/ ana pambana na SGR , barabara, meli, ndege , daraja la Tanzanite kamalizia, daraja la busisi anakamilisha na mambo mengine mengi.

Sema mwendazake aliwaroga sana kwa kelele zake na show off kitu ambacho Samia hataki.

Ukifuatilia vizuri kwa jicho la usawa bila chuki basi Samia amefanya mengi mazuri.

Shida ninayoiona kwa Samia ni hali ngumu ya maisha kwa watu wa hali ya chini hasa vijijini.
Wanajitoa ufahamu hao mbuzi,ukiacha kwamba mtu wao hakukamilisha mradi wowote zaidi ya projo na propaganda,Samia ndio anaikamilisha na amezindua maelfu ya miradi Kila sekta yanaendelea na husikii propaganda wala majigambo ya kipumbavu
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.
Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.
Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.
Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu. Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.
Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Utumbo wa bata
 
Back
Top Bottom