Wanajamvi wakati wa Jiwe Miradi ya Bandari Bagamoyo na ya gas LNG iliposimama wote humu tulimusimanga jiwe kuwa ni mkorofi ndo kasababisha hata Bandari ya Bagamoyo kutojengwa na wachina n waomani.
LNG nayo haikuanza. Nakumbuka wakati wa magufuri ilibidi watangazi kazi ya mshauri mkuu wa masuala ya Gas ili awasidie kunegotioate na kwa shauri kama serikali lakini mwishowe tuliishia kusema magufuri ndo alifanya miradi isitake off.
Baada ya Dada kupata Urais basi tukaambiwa Bnadari ya Bagamoyo ingefufuliwa haraka na wachina wangekuja haraka sana. Pia tukaambiwa hata LNG zingaza haraka sana ili tuendelee kwa kasi.
Lakini hadi sasa sioni kitu cha maana ndo maana najiuliza, hivi kosa lilikuwa la magufuri au wawekezaji waliaka kutupiga labda ndo maana na Dada yangu basi anasuasua na hata CCM haiogelei tena hiyo miradi kama walivyofanya wakati magufuri kufariki. Je kunanini hasa?