He will be backNyani Ngabu Banned what happened ?
Wengi walikuwa wakitumia kompyuta haswa internet cafè, walio ughaibuni simu...Hivi hao watu waliokajiunga JF 2006 walikuwa wanatumia simu za aina gani...? maana kipindi hiki i think zilikuwa nokia tochi, motorola, simens (mwalimu nichague mimi)...
Duuuh.. kumbeWengi walikuwa wakitumia kompyuta haswa internet cafè, walio ughaibuni simu...
Safi sana Bossman.
Nakumbuka DarHotwire kulikuwa na mizaha mizaha mingi.
Na hata huku JF watu tulikuwa tunaambiana hivyo hivyo, kwamba kama unataka udaku nenda DarHotwire.
Lakini kusema ukweli kipindi hicho..2006 - 2008 sikuweza kabisa kudhani kuwa JF ingetimiza miaka 10.
Mimi nilikuwa tanzatl.org
Legend ...Huu uzi hatimaye nao umefikisha zaidi ya mwaka!!
Kweli siku zinakimbia!!!