Mi ndo ACP Msangi, watu nduki!!!

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Juzi kati nlikua napita mitaa ya Mwananyamala mida ya Saa Saba usiku,

Kukatiza tu nikakutana na vibaka kama 20 wakiwa full equipped with visu, nondo, panga, sime n.k.

Basi nikajua leo ndio kiama changu, mwisho wa Shark kutokea JF ndo huu, naiacha familia yangu, jamaa na marafiki, naachana na corrupted World, napoenda sipajui.

Ghafla kama vile sio mimi nikapiga mkwara, "Mimi ndio ACP Msangi, soon wenzangu wanne watawasili wakitokea Leaders", vibaka wakatoka nduki ajabu huku wengine wakidai wao sio wenzake na Dk. Uli.
 
Mbona husemi walipoondoka ulijishtukia umeshachafua Suruali??.........
 
Duh,
Hiyo safi sana, hao vibaka wanaogopa Mabwepande!!
 
sijui hayo maumivu ya kuong'olewa meno ukubwani yakoje

Tena bila ganzi!!
Mtaani kwetu mtoto akikataa kula wanamtishia kumuita Acp Msangi, mwenyewe anakula bila kupenda!!
 
Toka hiyo juzi nkipita mahali pabaya usiku najifanya kuongea na simu uongo,

Helo, kamanda Msangi naongea hapa, bado mpo leaders? Nawasubiri.

Full kuogopwa!!
 
Back
Top Bottom