Mhhh!! Irene Uwoya kuacha chuchu hivyo ni biashara au?

mambo ya kuiga iga haya ....mtoto wa watu kavaa gauni halijamkaa chuchu zote nje ..


Kwa staili ya kanguo hako yangetakiwa yawe yamejaa ili kakae vizuri, sasa wabongo wanadogo?

Walishalegeza siku mingi na mwenyewe hataki kukubali hayo! Lol!
 
Mpe miaka 5 mbele atakuwa ameshuka thamani na atakuwa kazeeka na hakuna atakaye mtaka mwache huu ni wakati wake wa kujidai.
 
For sure biashara matangazo lakin inategemea na tangzo lenyewe mh!!!!! kwa irene imeboa coz mtindo kama ameigia hivi alafu kama kavalisha hivi alafu akatavya kuvaa... it was bad
 
CIMG2488.JPG

wanawake wa matangazo hawa....... kizuri chajiuza, kibaya chajitangaza...
 
nahisi muonekano wao upo katika hali ya kutumika zaidi,si unajua mwana watumiaji ndio sisi so acha tuwatumie!
 
Halafu kwenye zile "imitation pearls" kabandika uwa jeusi! Hawa watu sijui nani anawapamba? yaani wako out-of-class kabisa.

Inasikitisha sana kuona wakijidai ni warembo na hawajui kujiremba!
 
hivi jamani yule mtoto wake mbona ni kweli anafanana na yule jamaa aliyepakaziwa, dude! kama ni kweli namuonea sana huruma mume wake! yaani ni full usanii, mpaka kwenye kuzaa, usanii, misiba usanii! mastaa wetu bwana, wananipa raha sana!
 
BIASHARA MATANGAZO SASA HAMUELEWI NINI??MASTAA WOTE WA MOVIE BONGO NDIO ZAO WADADA WA MOVIE WOTE DOUBLE LINE WAKAKA LINE MOJA KAMA HUAMINI NENDA LEADERS UJIOPOLEE BWABWA LAKO KIULAINI AU DOUBLE LINE KAMA KINA UWOYA NA WENGINe

kwa hilo hata mm nakuunga mkono,kitu kingine wasanii Bongo Movie washirikina balaa yani ndumba linatembea kishenzi ndo mana hawana maendeleo.
 
This is the problem of Tanzania Artists.....kavaa nguo haimtoshi na inawezekana si yake, ukute kaenda Posta wahindi wakaomba avae ili kuwatangaza,,,matokeo ndo hayo (inamtela)....To me kuacha chuchu si tatizo naamini wewe uliyetuma thread unamuona sana Rihhana...kumbuka hatuko ndani ya yai
 
Kwanza acha kumsakama mtoto wa mwenzako!
Kama ni chuchu yake, kama ni titi lake, kama ni ngozi yake, kama mwili mbaya wake, chochote alicho nacho chake, wewe utabaki unajirusha tu na maneno ya mkosaji.
Wacha bwana hiyo, kila mtu ana haki yake ya kimsingi kufanya chochote anachopenda na mwili wake na haitaji ruhusa kutoka kwako au kwa msela mwingine yeyote


Wanawake wa sikuhizi wanafikiria kutumia mikorogo ama makalio, matiti yenyewe hana kisha anayaacha yanang'ong'wa na inzi. Shame on you Irene, ungekuwa na matiti si ndo ungetembea uchi? unajifanya star, star gani wewe kama si umalaya tu mnatafuta wanaume wenye pesa na watawapasulia mayai mpaka mkome.
 
Back
Top Bottom