Mheshimiwa rafiki yetu Makonda tunaomba huruma yako

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Mheshimiwa mkuu wetu Wa mkoa chondechonde tunaomba huruma yako!
TUnaomba suala la usafi lisizuie mda Wa kufungua ofisi; watu wakishamaliza kufanya usafi tunaomba waruhusiwe kufungua; yule ambaye atakutwa kafungua pasipo kufanya usafi ndiyo awajibishwe;
Kuhusu mda wa kuchelewa kufungua tunaomba angalau iwe kila mwisho wa mwezi na si kila jumamosi kama ilivyo sasa;
Kwa namna hii wananchi tunapata shida sana kupata huduma;
Mama ntilie wanalia na vyakula vyao.
Kiila huduma imefungwa maisha magumu tuhurumie. Toa Tamko rafiki yetu utunusuru na hii adha!
 
Huduma nunua IJUMAA usianze dalili za mgomo, biashara zinafunguliwa saa 4 asubuhi ww kipi cha kukukwamisha hadi useme uhurumiwe?

Kuna maeneo hapana watu maalum wa kufanya usafi, nani afanye ukiwa ww ushaanza kupiga hela?

Mara moja kwa wiki haitupunguzi kitu, si kila kitu tujaribu Kupinga. Vyenye manufaa tuoneshe kushiriki.
 
Back
Top Bottom