Mheshimiwa Mbunge/Mwenyeki/Mkurugenzi!!!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakuu nimekuwa nikisikia kila kukicha wabunge wakiwa wanachangia hoja bungeni huwa wanatumia neno '' mheshimiwa mwanyekiti,spika,waziriri na naibu waziri' hivi hili neno ni kutukuza kuona kuwa wabunge ni watu tofauti na watu wengine au nini hasa tafsiri halisia ya neno hilo au litakuwa kosa kumwita waziri au mbunge au spika bila kutanguliza neno mheshimiwa?au utaadhibiwa na kanuni za bunge?

Wakuu msaada wa mawazo!!
 
wakuu nimekuwa nikisikia kila kukicha wabunge wakiwa wanachangia hoja bungeni huwa wanatumia neno '' mheshimiwa mwanyekiti,spika,waziriri na naibu waziri' hivi hili neno ni kutukuza kuona kuwa wabunge ni watu tofauti na watu wengine au nini hasa tafsiri halisia ya neno hilo au litakuwa kosa kumwita waziri au mbunge au spika bila kutanguliza neno mheshimiwa?au utaadhibiwa na kanuni za bunge?

Wakuu msaada wa mawazo!!
karagabaho!
 
Back
Top Bottom