kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
mh zito kupitia channel ten amesema anataka kuwasilisha hoja binafsi,kwa lengo la kufufua kilimo cha katani. Hakika ktk hili nipo pamoja naye sana,na ninaomba wabunge ktk hili acheni siasa za uchama,unganeni mfufuwe uchumi wa nchi hii.
Kabwe anaweza vizuri sana na ni kichwa ila anapoingia kwenye siasa uchwa na tamaa za kujilimbikia mali. Ila ni mtu anayeweza kwa upande wa wananchi. Mungu ambadilishe awe mtu mweme
Kabwe anaweza vizuri sana na ni kichwa ila anapoingia kwenye siasa uchwa na tamaa za kujilimbikia mali. Ila ni mtu anayeweza kwa upande wa wananchi. Mungu ambadilishe awe mtu mweme