Mhe. Zitto Kabwe katika picha akiwa Colombo, Sri Lanka

hata mimi naona zitto anafanya kazi ya ujenzi wa taifa na uzalendo kwa kubeba pochi “pima joto”ya spika
mama makinda.

Hamadi Rashid nae kambebea nani? Acheni majungu wabongo. Ona picha waliopo Zitto, Hamad na Mbunge wa Uganda! Nae kambebea speaker?
 
Hapa ni kuuza chai tu

Hivi hata vigezo tukivijua itatusaidia kujua kama huu mkutano umeleta uzalishaji???

Si kila mkutano ni wa kuhudhuria, mingine huwa inaachwa tu
Unachagua michache productive.

Vigezo vya kuwa mjumbe wa CPA ni nini? Hebu tuwe Objective ili tuwe na healthy debate
 
Madhumun ya hcho kikao ni nini? na nin impact ya hcho kikao kwa watz?. Kwa muono wangu, mleta mada kaleta kwa sababu tu kuna ZITTO.. Kwan yeye haruhusiwi kufanya shughuli za kiserikal kwa mujib wa sheria??
 
Huu ni upuuzi hizi picha zipo kwenye blogs kibao, sasa sijaona what is the meaning of this photos here, hii siyo habari, na wala thread hii haikidhi vigezo kukaa hapa jukwaa la siasa labda jukwaa JF Photos au jukwaa la celeb. pls mods move this.

Siyo kila mwana JF anadandia na kuchungulia blogs kila mahali. Halafu naomba ujue kuwa photo is worth a thousands words. I'm sorry, kama hukupitia hata kidogo hilo darasa. halafu sijui wewe unajua siasa maana yake ni nini.
 
Hamadi Rashid nae kambebea nani? Acheni majungu wabongo. Ona picha waliopo Zitto, Hamad na Mbunge wa Uganda! Nae kambebea speaker?

naambiwa hapa makinda kawabebesha wote wawili ,maana huo mfuko sio sare ya kikao ndio maana hakuna wengine wenye pochi za kike kama hizo! ndio maana hata huyo mbunge wa kike wa uganda anawashangaa kulikoni midume mnabeba pochi?
 
1.JPG

Anaonekana ka bodyguard wa Bi Kirobot, mnafiki red carpet halioni? shame! na mifuko ya nini tena?
 
Hapa ni kuuza chai tu

Hivi hata vigezo tukivijua itatusaidia kujua kama huu mkutano umeleta uzalishaji???

Si kila mkutano ni wa kuhudhuria, mingine huwa inaachwa tu
Unachagua michache productive.
Of-course ukijua vigezo tutaweza kufanya debate based on the premises of cost-benefit analysis.Na kuweka mizani katika option ya kwenda na kubaki
 
Madhumun ya hcho kikao ni nini? na nin impact ya hcho kikao kwa watz?. Kwa muono wangu, mleta mada kaleta kwa sababu tu kuna ZITTO.. Kwan yeye haruhusiwi kufanya shughuli za kiserikal kwa mujib wa sheria??

Ni kikao kinachoshughulika na maswala ya utawala bora, demokrasia na haki za binadamu miongoni mwa nchi wanachama.
 
Jamani Mwacheni mhe.ZZK...alisema anataka uraisi sasa muda huu anajaribu kuutumia kujitambulisha na kujiweka sawa in international diplomacy. So safari zote internationally kama kuna loophole ya kwenda lazima ataenda. Of course kusafiri sio vibaya.Lakini kuna kitu nakiona deep in this man's dream. And if his dream is to become the president...he wont be different from JK.Atazunguka dunia nzima katika miaka yake mitano ya mwanzo ili ajitambulishe! I can clearly see him when he becomes our president.
 
Vigezo vya kuwa mjumbe wa CPA ni nini? Hebu tuwe Objective ili tuwe na healthy debate

Hakuna watu hatari kwa kuuwa upinzani kama hawa wawili Hamad na Zitto wote wanafiki,
mkuu hakuna kigezo ni kujipendekeza tu. wanafiki sana hawa, check walivyong"ang"ania zawadi
 
Kwa wale ambao hamjawahi toka nje ya bongo (yaani wale mliozoea kwenda moshi na kwingineko mikoani) kwa taarifa yenu msione hawa waheshimiwa wakiwa huko wanatanua! La hasha kwanza sehemu kubwa ya watu duniani wana tamaduni tofauti. Hivyo ukiwa huko wala hakuna atakaye kupenda (kama tulivyo watanzania na upendo wetu wa 100%). Kwa hiyo mchukulieni Mh Zitto alienda kuwakilisha wala siyo eti kajipendekeza kwenda kutanua.
upendo kama wa rpc kamuhanda
 
Why too much hatred over him? Msiniambie amejipeleka.mwenyewe huko lets have sense mbona akifanya vitu vizuri mnamsifia akikosea kidogo tu mnasahau mazuri aliyofanya? Lets be real not disliking a person with no good reasons
 
Hakuna watu hatari kwa kuuwa upinzani kama hawa wawili Hamad na Zitto wote wanafiki,
mkuu hakuna kigezo ni kujipendekeza tu. wanafiki sana hawa, check walivyong"ang"ania zawadi
Ha ha haa,almost fainting...mkuu wewe umeona zawadi tu,no objectivity.duh!

......state of metagrabolised melancholia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom