Mhe. Mwigulu Nchemba wafuasi wako wanapoteza matumaini

ifweero; Jibu hoja @ma..t.k ndo nini? Au ndiyo mnayofunzwa kwenye kambi za Green Guards?
 
Last edited by a moderator:
Kuna tetesi kuwa mwigulu atapigwa chini :kev: huo inaibu katibu wa ccm aliopewa na kikwete, maana anashusha hadhi ya chama.kwa hiyo wanaona wakimpiga chini watanusuru aibu ya chama wanayoipata kwa mambo ya kitoto, kijinga na kipumbavu anayofanya mwigulu. Hata ubunge watampiga chini.

Yaani watafanya jambo la maana sana. Tanzania tunaongozwa na watu ambao wana matatizo ya akili kama Mwigulu Nchemba.

Hata Bungeni hakuna jambo la maana au hoja ya maana anayochangia tangu aingie Bungeni. Wamepata hasara wananchi waliomchagua huko Singida.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
mizambwa; Anapokuwa bungeni huwa anatupa chini kwa dharau bajeti mbadala ya upinzani haswa kama kuna kitu hakimvutia.Huku ni kukosa adabu mbele ya umma kitu hata wafuasi wake wameanza kukishtukia na kukatishwa tamaa!
 
Last edited by a moderator:
Awali ya yote nakupa pole kwa kupigwa ban kwani asiyefunzwa na Mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kutokuwepo kwako jamvini kumewagawa wafuasi wako na hata kwenye mijadala mingi wanazidi kuonekana hawaelewi wala kukijua wanachokitetea.

Mwanafasihi mmoja wa masuala ya kisiasa almaarufu Rudi Lack anasema, "If you want people to follow your plan,they have to know it" Lakini kwa vijana wako imekuwa tofauti.

Awali ulikuja ukasema Red Brigade ni kikundi cha ugaidi,mauaji na utekaji kwa kukifananisha na kikundi kilichowahi kuwepo Italia bila hata kutoa ushahidi wa uhusika wa CHADEMA.

Lakini kizuri, ukasifia Green Guards kuwa ni kikundi cha ukakamavu na kujilinda.Wafuasi wako wakaimba wimbo huo.Mara tena ukasema ni kikundi cha ujasiriamali; wakaimba hivyo na jana pale Passion FM umesema ni kikundi cha maonesho kwenye halaiki.

Umesahau kambi ya Ivumwe kwenye uchaguzi mdogo kata ya Iyela,Mbeya ni kikundi gani cha halaiki kinakataza watu kupita karibu na kambi? (Miluzi mingi...)

Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe hivyo sikushangai ukimfuatilia sana Mwigulu Nchemba ila huezi badili maono ya kiuongozi za mtu kama Mwigulu . Chezea visionary leaders weyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Mwigulu jamaniii anaitesa Chadema hivi cdm msipomuandika Mwigulu hamvuti pumz jamani.
 
Mti Mtu; Nijuavyo mimi Ibilisi mtoa roho ndiye anayeogopwa, unataka kumaanisha nini kwenye comment yako?
 
Last edited by a moderator:
Rationalizer; Wewe unatoka kikosi namba ngapi cha ujasiriamali wa Green Guards maana unaonekana una mawazo safi japokuwa huyatumii kwani unakariri. Nyoka akionekana huwa anapigwa mawe, kwani ana matunda gani? Ni ujinga kumfananisha mtu aliyeikifanya CCM kipate kata 0 kati ya 4 eti ni mtu wa matunda.Ule ni mti mkavu hauchimbwi dawa!
 
notradamme; Mbinu zenu za kuiba kura,kupiga wabunge wa upinzani na kuwabambizia watu kesi za ugaidi hazitakuwa na nafasi.Kama ni vikosi vyenu vya kufanya vurugu dawa yake ipo jikoni inachemka maana muda si mrefu vijana watapata mafunzo ya ukakamavu.Hilo jasho litamtoka Captain wenu wa Green Guards Mwigulu Nchemba kama alivyotokwa jasho Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu jamaniii anaitesa Chadema hivi cdm msipomuandika Mwigulu hamvuti pumz jamani.

Anaitesa cdm au anaitesa ccm!? lkn hata nyie mnaomshabikia huyu jamaa,hivi hata kwa akili ya kawaida,unaweza kuwa shabiki wa mwigulu kweli?au sababu ya kubeba shida zenu kwenye mfuko wa rambo!?mtu aliyekamilika hawezi kumshabikia mwigulu,lazima atakuwa na tatizo.
 
Nakumbuka ukumbi huu uliwahi kuwa wa hoja za msingi sana. Mbona zinaanza kuwa hadimu? Nimesoma thread karibu zote hapa ni kutukanana na kukashfiana tu. Nchi hii ina matatizo kibao ambayo wengi mngeweza kuyazungumzia kuliko kutumia page zaidi ya nne (4) kumzungumzia mtu mmoja ambae hawezi hata kubadili maisha ya wengi wanaoteseka.

Safari ni ndefu.
 
Awali ya yote nakupa pole kwa kupigwa ban kwani asiyefunzwa na Mamaye hufunzwa na ulimwengu. Kutokuwepo kwako jamvini kumewagawa wafuasi wako na hata kwenye mijadala mingi wanazidi kuonekana hawaelewi wala kukijua wanachokitetea.

Mwanafasihi mmoja wa masuala ya kisiasa almaarufu Rudi Lack anasema, "If you want people to follow your plan,they have to know it" Lakini kwa vijana wako imekuwa tofauti.

Awali ulikuja ukasema Red Brigade ni kikundi cha ugaidi,mauaji na utekaji kwa kukifananisha na kikundi kilichowahi kuwepo Italia bila hata kutoa ushahidi wa uhusika wa CHADEMA.

Lakini kizuri, ukasifia Green Guards kuwa ni kikundi cha ukakamavu na kujilinda.Wafuasi wako wakaimba wimbo huo.Mara tena ukasema ni kikundi cha ujasiriamali; wakaimba hivyo na jana pale Passion FM umesema ni kikundi cha maonesho kwenye halaiki.

Umesahau kambi ya Ivumwe kwenye uchaguzi mdogo kata ya Iyela,Mbeya ni kikundi gani cha halaiki kinakataza watu kupita karibu na kambi? (Miluzi mingi...)

Huchanganya mbwa???
 
Nakumbuka ukumbi huu uliwahi kuwa wa hoja za msingi sana. Mbona zinaanza kuwa hadimu? Nimesoma thread karibu zote hapa ni kutukanana na kukashfiana tu. Nchi hii ina matatizo kibao ambayo wengi mngeweza kuyazungumzia kuliko kutumia page zaidi ya nne (4) kumzungumzia mtu mmoja ambae hawezi hata kubadili maisha ya wengi wanaoteseka.

Safari ni ndefu.

mkuu ungejua huyo mtu mmoja athari zake ktk taifa nadhani ungeomba mijadala kuhusu yy iongezwe ili jamii ijue km ni mtu hatari!!
 
ngungwangungwa; Ahsante kwa kunisaidia kumjibu huyo jamaa, anajifanya hajui kwamba mkiwa na watu kama Mwigulu ni sawa na maradhi mengine.Ni vizuri kuona baadhi ya vijana wameanza kujitambua na kukataa siasa za huyo jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe hivyo sikushangai ukimfuatilia sana Mwigulu Nchemba ila huezi badili maono ya kiuongozi za mtu kama Mwigulu . Chezea visionary leaders weyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Eti mwigulu leader? Ujinga mzigo utue jomba.
 
Back
Top Bottom