Boramaisha
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 820
- 18
Shame on this Chikawe!! Hajui katiba ya nchi na wala hajui katiba ya Chama chake! Eti ndio viongozi wa nchi hao! Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh!
wanasiasa karibu wote hapa bongo wako kwenye payroll ya Rostam, watamkamata vipi?
Mara zote Chikawe huwa anaongea PUMBA TU? wana jamii niambieni ni lini mmeishawahi kumsikia akiongea point? haya ndo mapungufu ya viongozi wanaoteuliwa na kikwete na uelewa wao mdogo wanaweza kweli kutuletea maendeleo?
MM,
Zaidi ya kusema kuwa tuko kwenye mfumo wa kibepari, kautukana ujamaa na mfumo wake kwa kusema mambo ya kukamata kama vile wakati wa ujamaa ilikuwa ni udhalimu mkubwa. Zaidi aliposema kuwa Sokoine na kamata kamata ya ovyo!
Sasa wao na ubepari wana sera ya achia achia ovyo, hivyo tuikubali?
Si umesikia Ole Naiko anadai wana ardhi heka laki mbili kwa wawekezaji wa Kilimo Kwanza lakini hataki kusema ardhi hii iko sehemu gani eti ni suala nyeti?
Gademu Shiti!
Mara zote Chikawe huwa anaongea PUMBA TU? wana jamii niambieni ni lini mmeishawahi kumsikia akiongea point? haya ndo mapungufu ya viongozi wanaoteuliwa na kikwete na uelewa wao mdogo wanaweza kweli kutuletea maendeleo?
[quote]rais alikutana na baraza la mawaziri na hicho ndicho walichozungumza, kikwete aliwaomba wale wanaojuwa sheria wamuokowe na sasa ndiyo wanatoka kumuokowa,[/quote]
Tulishangaa ya Waziri Sofia Simba, sasa tunaona ya waziri mwingine Chikawe. Hivi ndivyo Mkulu anavyoakisi utawala wake