Mhadhiri Kibarua chaoto Nyasi kwa kuhusishwa na siasa!

Mwalimu Mkuu

Member
Dec 26, 2010
62
39
aliyekuwa mhadhiri katika chuo kikuu cha Arusha mpiganaji Dadi Igogo amefukuzwa kazi katika chuo kikuu cha arusha kwa kuhusishwa na siasa chuoni hapo.
 
Govt's loss is private uni's gain. Sasa hivi atapata ajira kwenye chuo cha binafsi. watafukuza wangapi?
 
Umeonaeeeeeeeeeeeeh!

waku hicho ni chuo binafisi alichofukuzwa ni chuo cha dini sio serikali
labda mseme wametumia mwanya kumtoa kutokana na sababu zao binafsi
ila mimi ninavyojua kuna majungu mpaka kwenye dini wakati mwengine wanafanya
mambo kama Taasisi za serikali hali wao ni mashirikia binafsi
napata taarifa hapa ni chuo cha wasabato
 
Vyo viko vingi na kama ana uwezo haina shida, faida ya elimu ni kuwa na options pia
 
Vyuo vikuu vyote vinazuia siasa shuleni. Hakuna haja ya kuhusisha hili na mkono wa serikali. Mhadhiri amekiuka sheria na taratibu za kazi. Maana madhara ya siasa vyuoni ni makubwa sana. Na kwa chuo cha private ndiyo kabisa, hawana uwezo wa kubeba matokeo ya hizo siasa zinazoendeshwa na huyo mtu mmoja, ziwe ni za CCM au za chama kingine chochote. Vinginevyo mnambie amesingiziwa.
 
Back
Top Bottom