Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,216
- 7,908
- Thread starter
- #21
Soma nilicho andika nimeongeza kidogo kaelimu labda hicho kinaweza kukutia akili kidogo - ukachana na mambo ya ku argue like a toddler.
Ukiwa msikivu utajifunza mengi, ukiwa overly argumentative itakula kwako - been warned na nakwambia haya kwa nia njema tu.
lugha ambayo huijui vizuri ni ipi kati ya kiswahili na kiingereza?