Mh. Tundu lissu usife moyo

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Sisi wananch tulio wengi tumefurah sn na tumeunga mkono hotuba yako kwasbb umeongelea vema katiba inayotakiwa tz lkn wamekuona umegusa maslai binafs ya wachache. WAMEKUTOLEA MANENO YA KUUDHI NA KUDHALILISHA ILA USIFE MOYO ENDELEA KUSIMAMIA UNACHOAMINI NI MASLAI YA TULIO WENGI. Mumgu akubari na akupe uvumilivu
 
Ukiona unapingwa sana na walioneemeka, ujue unakubalika sana na maskini-Keep it up and be encouraged Hon. Lisu.
 
Haya mawazo yanatoka kwenye TUNDU LUSSU lako peke yako.
<br /> <br / nahisi wewe ni mmoja wa wale wabunge wa zanzibari wanaodai vitoto violewe. UNATUMIA MAKALIO KUFIKIRI. M.SE.NGE. wewe
 
Mh lisu alichokisema ndicho kitakacho tokea hao wanao taka kuoa watoto wa darasa la tano ni vilaza tu.
Haiwezekani watake kuegemea tu hatakama wameolewa katika muungano.
Watatukana mpaka wataacha na sisi huo muswada tunausubir uje kitaa kama utakua na mambo ya kijinga kama ya hao magamba b wanayoyatetea tunauchana kama wao walivyo uchana.
Keep it up lissu tutafika tu.
 
Siku si nyingi upepo utabadilisha uelekeo, hawa wakina selina wachumia tumbo kwa maslahi ya wachache watakuja kusaga meno!
 
Eti libaba lizima na midevu yake tele linalilia kuoa vibint vya darasa la 5! Kweli zanzibar ni bure kabisa hawana fikra kazi yao kushinda kwenye migahawa ya kahawa kutwa nzima kujadili upumbavu wa kutaka sheria ya kuoa vitoto vya darasa la 5 na kutoa talaka, hakuna haja ya kushirikiana na wa2 km hawa mana wanaliangamiza taifa. Pumbavu zao
 
<br /> <br / kwakweli a maoni ya wabunge wazanzibar ni bure kabisa
 
Hawa wabunge wazanzibar wamemkashf sn T.lisu kw hana uwezo wa kufikiri hata hy shule yk aliyosoma ni bure kbs mara jina la tundu lissu linamaana chaf hk zanzibar, mi nadhani haya yote yalipangwa yaongelewe ili kumdhalilisha na kumvunja moyo mh.lissu
 
Sisi wananch tulio wengi tumefurah sn na tumeunga mkono hotuba yako kwasbb umeongelea vema katiba inayotakiwa tz lkn wamekuona umegusa maslai binafs ya wachache. WAMEKUTOLEA MANENO YA KUUDHI NA KUDHALILISHA ILA USIFE MOYO ENDELEA KUSIMAMIA UNACHOAMINI NI MASLAI YA TULIO WENGI. Mumgu akubari na akupe uvumilivu
<br />
<br />
"Ushindi upo lakini hauji papo kwa papo" JAY MO
 
Is Mtema around? Naomba kuiona hotuba ya Lissu, pia hotuba ya Kombani alipokuwa anajibu...
 
Back
Top Bottom