Mh. Sitta na Mh. Nyalando -Mzumbe leo

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
549
Hao wawili walikuwepo Chuo kikuu Mzumbe kwenye mjadala wa Changamoto kuelekea jumuiya ya afrika mashariki, Mzumbe inaonyesha wanamkubali sana Sitta ila alipokusia tu suala la posho kijasho chembamba kilimtoka
 
Enhe! sasa akasemaje kuhusu hizo posho, mbona humalizii? Maake hata yeye ameshindwa kutoka CCM kwenda CCJ sababu ya hivyo viposho. Si unajua ndiye alianzisha move ya kuongeza vinono kwa wabunge mara tu alipopata uspika? Ndiyo maana nina hamu ya kusikia leo anasemaje.
 
Huyu ni mnafiki SITTA jimbo lake la URAMBO hakuna maendeleo yoyote.Atawatetea nini watanzania huyu mwanzilishi wa CCJ.
 
Back
Top Bottom