Sioi Sumari alimpenda Pamela Lowasaa ama alimtamani?

Vigezo vya kutamaniana ni vipi?, na kupendana kwa uharisia ni vipi?, nipe mfano wa walipendana na si kuatamaniana.

Unaelewa maana ya kutamani?
Na je unaelewa maana ya kupenda?
 
......aaaghhh!!! Is this a great thinking or where u dare talk openly?....nonsense
 
Huu ni upuuzi kwa yeyot mwenye akili timamu kuendelea mada hii wewe uliwahi kujiulliza kama baba yako na mama yako walipendana au walitamaniana na ukaleta majubu jamvini nosensee
 
Huu uzi sioni kama una tija yoyote. Ya ngoswe tumwachie wenyewe, Tunachotaka ni Ushindi Arumeru, Period.
 
Hii thread ni ya kifala kwann ufuatilie sura za watu wa watu we inakuhusu nn?
 
NIMEWIWA KUULIZA HILI BAADA YA KUSOMA HII KWENYE MWANANCHI

Aliwananga mahasimu wake wa kisiasa wanaoeneza maneno kwamba amekwenda kumpigia debe Sioi kwa kuwa ni mkwe wake na kusema hakuna dhambi kwa mkwewe huyo kugombea jimbo hilo kwa kuwa anazo sifa… "Hata mkisema ni mkwe wangu, kwani kuna dhambi gani? Alimpenda Pamela sasa nimkatae kwa kuwa mimi ni mwanasiasa?"

KAMA MZAZI NIMEONA WAKATI MUAFAKA MZEE ANA UHAKIKA GANI SIOI ALIMPENDA MWANAE PAMELA NA SI KUMTAMANI ......JE ANAJUAJE TOFAUTI YA KUPENDA NA KUTAMANI KAMA MKWE

NAAMINI NDUGU ZANGU MNAOMJUA SIOI MKIMWEKA NA PAMELA MTAJUA NA KUPATA JIBU..NAAMINI KAMA KUMPENDA LABDA PAMELA NDIE ALIEMPENDA SIOI MENGINE TUNASUBIRI SIOI ATUPE MAJIBU YA KWELI

I was not expecting such a thing from you broda.......
Thats too low..........
 
Mleta huu uzi anafanana sana kitabia na mtoto wa Mzee Job Lusinde! Hivi nani alichagua sura aliyo nayo,kazi ya mwenyezimungu haifanyiwi joking!
 
Katika Mapenzi kupenda ni matokeo ya kutamaniana; sasa sijajua huyu mtoa mada nini maana sahihi ya swali lake; afu pamoja na hilo suala hili sio la kumuuliza EL kama mzazi wala halina mashiko; kwa uelekeo huu iko siku waeza kuja muuliza mzazi wako pia swali la namna hiyo"
 
Mtoa mada kwakweli leo umechemsha aisee!Unauhakika mkeo/demu wako anavutia kwa kila mwanaume?Uzuri wa mwanamke anaujua mwanaume wake kaka!!Hii thread ilitakiwa iletwe na akina dada wale wa saloon za kike lakini sikutegemea kama inawezwa leta na mtu kama wewe aisee!!
 
Midume miziiimaaa umbea umbea tu mtainamishwa nyie!!!ushuuuzi tuuu hamna akili
 
Alichompendea anajua mwenyewe mwanamke sio sura au umbo ni tabia na maujuzi. Hivi humu tuweka picha za wenza wetu wote watakuwa wazuri? Msigeuze humu kuwa kijiwe cha kahawa, acheni hizo
 
Hapa JF baadhi ya waleta mada na wachangiaji tunakosa muelekeo katika mashiko ya hoja. Ukizingatia leo ilikuwa siku ya mwisho kufanya kampeni, badala ya kuleta uchambuzi wa maana ili kuwasaidia watu kufikisha ujumbe unaoweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa Wana Arumeru wamepigika siku nyingi, mnaaza kujadili uzuri na ubaya wa mke/mchumba wa SIOI.

Me nina swali moja kwenu nyie mnaojina ma-handsome na ma - beautiful huo uzuri wenu mlinunua duka gani ambalo wenzenu hawalifahamu. Mtu unazaliwa unajikuta jinsi ulivyo kama Pamela ni mbaya kwa mtazamo wako ni vyema ukamuuliza muuba wetu pia nawe umshukuru kwa huo uzuri aliokupa. Kuna wakati haya Magazeti ya UDAKU wakati wa kampeni waliwahi kuweka picha ya Mbowe na Kikwete wakawa wanawauliza watu nani ni Handsome. Kumbe huo uozo wa kimtazamo hata wana JF ambao siku zote nimekuwa nawaona kama kimbilio langu la kuongeza maarifa nao wanaanza kuugua maradhi ya ufinyu wa kutafakari hoja za msingi kwa wakati muafaka. Arrrrrrrrgh sio lazima kuleta sredi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom