Elections 2010 Mh:Jaji Tendwa

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimatumaini yangu wote wazima kwamba nyote mmesikia kwamba chama cha maendeleo na demokrasia CHADEMA kimemwekea pingamizi mombea wa urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Mh;Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.
Katika sheria mpya ya gharama za uchaguzi zinakataza kuhaidi msaada,kutoa,kufanya chochote kile kinachoweza kushawishi mpigakura au mwananchi yoyote!!
Swali je hapo itakuwaje kwa kikwete??Je Mh Tendwa atavaa joho lake la ujaji kutekeleza kiapo alichokula wakati anavaa joho la ujaji??
Je ikoje kiundani kwa yeyeyote anayeijua sheria za gharama za uchaguzi je mwisho wakampeni niwabunge wangapi watakuwa wamekamatwa kuhusiana na hili??Je CCM watapita kwakuuza sera badala ya kuhaidi??Mimi na wewe hatujui ila nimhimu kuweka mawazo yako hapa katika janvi la JF wasalaam.:focus:
 
Back
Top Bottom