Mh hii ni kweli

mie sijambo kabisa, najitahidi kumridhisha mkoloni hapa ili aniongeze kwenye listi ya bonus,lol.
nimeona watu wanakurusha baana, mara eeh! wapi papaaa Rejao,
moyoni nkajisemea pembeni yako sibanduki, lol
Ngoja tena nikuwekee na supa gluu kabisa ili unate hapo hapo!!
Kumbe naanza kuwa celebriti..lol.inabidi nibadilishe pia na swaga!
 
Usifanye chochote, hiyo sura ni hela tupu hujaamua kwenda holiwud tu.
Unapewa nafasi ya jambazi au pawa malimao au mcheza argentian tango au mwanasayansi anayetaka kuvumbua hata yeye hajui anataka kuvumbua nini (kama Dexter laboratory)

Those eyes: sharp, bright, pawaful eyez they are yummy yummy
Haha ha ha ha..ROTFL,,,mbavu zangu! Nimecheka mpaka kila mtu hapa kaniona kama mwehu!
 
Wa binafsi wakubwa, ona wanavyoanza kuongelea mambo yao binafsi!
Wewe umeanzisha mada ukakimbia..sasa ulikuwa unategemea nini? Tushukuru tumekusaidia kuiweka alive cuz haikuwa na cha kudiscuss
 
Ha ha ha, unajuwa napenda kuwa objective na vitu ambavyo wengine wanaviona ni hasara.

Uswahilini tunasema, katikati ya shida wewe unaponda raha.

Haha ha ha ha..ROTFL,,,mbavu zangu! Nimecheka mpaka kila mtu hapa kaniona kama mwehu!
 
Wewe umeanzisha mada ukakimbia..sasa ulikuwa unategemea nini? Tushukuru tumekusaidia kuiweka alive cuz haikuwa na cha kudiscuss

Chakudiscuss kama kweli wa TANZANIA NI WA BINAFSI NA WANAFIKI?

WEWE UNAIONAJE HIYO?
 
Chakudiscuss kama kweli wa TANZANIA NI WA BINAFSI NA WANAFIKI?

WEWE UNAIONAJE HIYO?
This one is too general. Labda ungetudadavulia ni wanafiki na wabinafsi kivipi? Ikiwezekana tupe hata kamfano cha ulichokiexperience in real life situation.
 
Back
Top Bottom