Mh. Dr.jk kwa hili sijuwi ingekuwaje??

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
huwa najiuliza sana sipati majibu ..mh.bro. Ben alikuwa jasiri nakutaka sarafu zote na noti zote ziwe za waasisi waliotangulia na kutaka jina la mtukufu rais lisitumike..

je ?nawauliza ndugu zangu humu mkekani kaka yetu ****** angeweza vumilia hili au sarafu zingekuwa na sura ya riz1, jero na buku za mama, buku2 na buku5 za makamu na ten zingekuwa za mjuba mwenyewe...

kwa hili hongera ben maana tungechafuliwa hali ya hewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom