Mh Diallo, wafanyakazi wote Sahara Media Group ilikuwaje kura za ubunge Ilemela hazikutosha?

DT125

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
380
573
Mjasiriamali Mh. Diallo nakupongeza kwa kuanzisha Sahara Media Group wamiliki wa Star Tv na Radio Free Afrika. Kampuni hii inaonekana ina wafanyakazi wengi sana, nimeshuhudia leo wakituma salamu za Krismasi.Hongera kwa kuajiri watanzania wenzako. Nilichoshanga ilikuwaje kijana mdogo tena wa kutoka Kaskazini kwa wachaga Mh. Kiwia wa CHADEMA akakubwaga katika kinyanganyiro cha ubunge wa Ilemela.
 
Watu wa Ilemela walishamstukia kuwa alikuwa kilaza aliyekuwa anapata ubunge kwa njia za haramu na alitumia ubunge kujinufaisha yeye binafsi na sio wale waliomchagua hivyo wakaona Kiwia atawafaa.
 
A very juvenile or adolescent way of thinking. Hivi wapiga kura wa Ilemela wangeweza kutoka jimbo la nyamagana ambako ofisi za sahara wanafanyia kazi? Hat a wangepiga kura wore zingetosha?
 
Nasikia wafanyakazi wengi wa Sahara Media waliokuwepo wakati wa kampeni za uchaguzi, hasa wale waliokuwa na mrengo tofauti na Boss wao wamepigwa chini!
Anyway, Hongera Ndiallo kwa kuanzisha taasisi hiyo iliyosheheni wafanyakazi watanzania!
 
Hata mimi nashangaa alibwagwa vipi na huyu dogo ambaye ni very junior kwake?

Kwa hiyo mtu akiwa junior haruhusiwi kutoa hoja nzito? Mimi nadhani hoja za Diallo zilikuwa junior na hoja za Kiwia zilikuwa senior. Kwa hiyo wapiga kura wakachagua hoja senior.
 
Back
Top Bottom