mgomo wasaidia madreva wa kigogo mburahati

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Baada ya madreva wa daladala za kigogo mburahati kugoma kutokana na ubovu wa barabara, hatimae serikali ameanza kurekebisha sehemu korofi.
Madreva wameapa hawataingiza magari yao barabarani hadi barabara yote ilekebishwe.wanasema magari yao yamekuwa yakiharibika sana injini.mgomo umeingia siku ya pili.mia
 
Back
Top Bottom