Mgomo wa madaktari wasababisha vifo 19 bugando

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,316
12,826
nilikuwa ninaaangalia taarifa ya habari ya star tv, na nikakutana na habari hii kwamba watu 19 wamefariki dunia kutokana na mgomo wa madaktari katika hospitali ya bugando. sasa kama idadi hii ni bugando 2. vp kuhusu muhimbili na kwingineko. jamani hizi pande zinazovutana hebu tafuteni namna ya kumaliza huu mgogoro,tuoneeeni huruma wanyonge ambao hatuna hatia yoyote.
 
Viongozi wetu hawaoni hatari kwa vile hakuna mwenzao aliyekufa wala ndugu yao!
 
Back
Top Bottom