Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,720
Wakuu,
Wenye data za huyu 'daktari' wamwage maana sijui kama ni mzima au anataka kumtapeli JK kama Nshomile Rweyemamu ili apewe ulaji. Hivi kama kweli huyu amesoma hajui hata haki za wanataaluma? Au ni wale madaktari wa kughushi. Ingekuwa Kenya huyu angekatwa kichwa. Jamani acheni uchumia tumbo kwenye mambo serious bwana dakitari Nshomile Kalokola.Tafuteni njia nyingine za kuganga njaa lakini si kwenye mambo serious kama haya mulangila Kalokola.