Mgomo wa daldala na pikipiki Arusha: waliokamatwa waachiwa

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Waliokamatwa kwenye mgomo wa daladala na pikipiki jana tarehe 02.11.2011, uliokuwa unashinikiza OCD (ZUberi) wa Arusha aondolewe kwa uonevu anaoufanya zidi ya watu wa Arusha na kwa mbunge wao Mh. Godbless Lema pamoja na kuwaita 'panya' wakazi wa arusha waliofika kufatilia kesi ya kupiga matokeo zidi ya Godbless Lema ambayo ilifunguliwa na wanachama wa CCM, vijana walio kuwa wamekamatwa jumla ni 45, 20 wameachiwa huru, 24 wameachiwa kwa dhamana baada ya kufikishwa mahakamani mchana huu wakituhumiwa kufanya uharibifu wa mali na kuzuia abiria kupanda magari na mmoja bado yuko kituo cha polisi.........
 
Back
Top Bottom