Mgomo Uendelee, Tushinde uchaguzi Arumeru!

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Hivi unajua kwa nini majority of JF members ( ambao ki-msingi ni CDM Caucus) wanachagiza mgomo uendelee? Ni issue ya uchaguzi na manufaa ya kisiasa!

Mgomo ukiendelea, media zikaupa coverage, lawama zikaelekezwa kwa serikali na chama chake; huu ni mtaji mkubwa wa kisiasa na ni main campaign agenda kule Arumeru.

Wengi watajifanya kuponda hapa, lakini this is their main wish! Mwenye akili na aelewe!
 
Tatizo ndio linakuja hapo. badala ya kuangalia tatizo ki afya na maslahi ya madaktari linaangaliwa Kisiasa. Makundi yote yakisahau wanao kufa ni wale hata hawajui kua kuna kitu kinaitwa mtandao ili kuja eleza hali ilivo mbaya huko.
 
Hivi kwa ndg Mponda au Bi.L. Nkya kujiudhuru kuna uchadema wowote hapo?ukweli siku zote unasababisha maumivu lakini ndio uungwana kukubali maumivu yanayosababishwa na ukwel kulko kujipumbuva na uongo,ngoja tujiulize ndg Mponda angakuwa amejiudhuru tangu mapema yeye binafsi angaathirika na nini?au serikari yake hii ambayo kilia siku inajitahidi kujionesha ni jinsi gani isivyo sikivu,
tupitie mifano kadhaa hapa chini hivi karibuni
Hivi karibuni Rais wa Ujeruman kajiudhuru kwa sababu hizo hizo za kujiheshimi na kuwajibika,pitia pia historia ya mawaziri wakuu wa Japan,hivi huyo Mponda kwaeli anawez kutizamanaje na mke wake au watoto wake,majirani,ndg hivi hata hawampig simu???????????????????hii laana ataifuta lini?binafsi nilikuwa naguswa na utendaji kazi wake kwa kiasi fulani kafuata ushauri wa viongozi uchwara wenzie kaanguka, kujiudhuru kwa kiongozi yeyote ni kukir kuwa yeye ni bindamu na amefanya makosa hivyo aruhusu wengine wakafanye kwa wema zaidi kwa manufaa ya numba yetu nzuri Tanzania
 
kama ndio mawazo yaliyoko vicwani mwa watu basi siasa inatupeleka kubaya kama taifa.
 
Gilo umeongea.. Bnafs nashanga wanachongángánia nn si watoke wanafrahia watanzania kuendelea kufa kwa sababu ya cheo tena wangejiuzulu bla kushurutshwa watu wangeheshimu maamuzi yao kwamba na wao wamewajibika! Kwani viongozi wangapi waliachia madaraka hapa Tz sembuse wao? Au kwa kuwa ndugu zao hawafi kwa kukosa tiba ndo maana wanaona sawa tu?
 
Back
Top Bottom