Kahema
JF-Expert Member
- May 21, 2010
- 202
- 43
Mgomo wa wafanyakazi kiwanda cha bia dsm(tbl) umeanza leo hii asubuhi. issue kubwa ni kwamba wafanyakazi wanaushinikiza uongozi kuboresha hari yao ya kiamaisha katoka nyanja zote.wanadai wafanyakazi wanaishi katika hali ngumu huku kampuni ikipata faida kubwa kila mwaka. wanasema kinachoonekana nje ya kampuni hakiashirii hari halisi ndani ya kampuni. more to fall.