Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,000
- 2,781
Mwanachama wa chama cha kijamaa cha Ufaransa ambaye ni mgombea Urais wa Ufaransa wa 2012, Francois Hollande akiwa amefunikwa na unga sijui wa Ngano au Mahindi au Muhogo, baada ya mwanamke ambaye hakujulikana kukimbia jukwaani na kumrushia unga huko Paris feb 2012The woman ran to the side of the podium where Socialist Francois Hollande stood on Wednesday to sign a "social contract" in favor of housing for all.
Hii picha imenisikitisha sijui ni kwa nini watu siku hizi wanawafanyia viongozi Vituko kama hivi. Yeye si alikuwa tu anaomba kuungwa mkono katika suala la Nyumba kwa Wote. Amenikumbusha kule Mwanza 2005 yaliyotokea baada ya yule Sangoma kutaka Kumwangusha JK.