Mgombea urais TLP: CCM huu mwaka ni lazima itoke

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
2,149
1,410
Mgombea Urais kutipia chama cha TLP, Macmilian Lyimo amedai tendo la kukimbiza moto(mwenge) ni kuweka agano na shetani ambalo linakufa safari hii.Mabadiliko hayepukiki.

Akiongea na ITV, Kwenye Kipindi Cha Mtiti Wa Uchaguzi,Lyimo Mgombea urais kupigia TLP amewaasa CCM wayaongoze Mabadiriko.

Mgombea Huyo Wanasema Mabadiriko Yakiwaongoza CCM basi Kilichoko Mbele ya Taifa ni Machafuko Makubwa Haijawahi Kutokea.

Limo Wanasema CCM wakijidanganya Kutotenda Haki..Hata ulimwengu uyashangaa Machafuko.

CCM kung'oka ni Lazima na Hakuna Namna yoyote Ile.

Nyumba Ikishika Moto. Siku zote Kwenye Nyumbani na Hata Majirani watajitutumua Kuuzima Motto, Lakini Kama Paa Limeshika Moto Sio rahisi kuuzima Moto na Ni Ndoto Kuiokoa.

Motto Umeshashika Paa la Nyumbani ya CCM, Juhudi zozote, owe fedha, Nguvu or Mabavu Hakuna dalili za Kupona.
 
Akiongea na ITV, Kwenye Kipindi Cha Mtiti Wa Uchaguzi,Limo Mgombea urais kupigia TLP amewaasa CCM wayaongoze Mabadiriko.

Mgombea Huyo Wanasema Mabadiriko Yakiwaongoza CCM basi Kilichoko Mbele ya Taifa ni Machafuko Makubwa Haijawahi Kutokea.

Limo Wanasema CCM wakijidanganya Kutotenda Haki..Hata ulimwengu uyashangaa Machafuko.

CCM kung'oka ni Lazima na Hakuna Namna yoyote Ile.

Nyumba Ikishika Moto. Siku zote Kwenye Nyumbani na Hata Majirani watajitutumua Kuuzima Motto, Lakini Kama Paa Limeshika Moto Sio rahisi kuuzima Moto na Ni Ndoto Kuiokoa.

Motto Umeshashika Paa la Nyumbani ya CCM, Juhudi zozote, owe fedha, Nguvu or Mabavu Hakuna dalili za Kupona.
 
Hayo ni maneno yaliyotolewa Na mgombea urais wa TLP Ndugu Lyimo wkt akihojiwa Na ITV ktk kipindi cha mtiti wa Uchaguzi. Najiuliza,je nembo ya MWENGE kwenye matangazo ya Magufuli ina uhusiano na hilo?
 
Mgombea urais kwa tkt ya Tlp amewaumbua wana ccm amesema ule mwenge ni ibada ya Mungu anaeitwa molek yaani Mungu wa moto ambae amenenwa ktk biblia na quran.

Na lengo la huyu Mungu ni kuwapumbaza wananchi kila anayeuona mwenge akili zinapumbazika.

Tumekwisha na moleki.

Source:Itv Mtiti wa uchaguzi.
 
Haya Mashirikina Mwaka Uhu Tunaya furumusha na Mwenge wao. Ndiyo umesababisha umaskini katika nchi hii soma kitabu cha isaya Mungu anasema wakimbizao Mwenge wamelaaniwa na Watakuwa na uzuni katika Maisha Yao,Tunashindwa hata na Rwanda Kiuchumi?
 
History: Flame and torch
The ancient Greeks believed that fire was given to humankind by Prometheus, and considered fire to have sacred qualities. Mirrors were used to focus the sun's rays to ignite flames that would burn perpetually in front of Greek temples. Greek rituals also included torch relays, although this was not actually part of the Olympic Games.
 
Mgombea Urais kutipia chama cha TLP, Macmilian Lyimo amedai tendo la kukimbiza moto(mwenge) ni kuweka agano na shetani ambalo linakufa safari hii.Mabadiliko hayepukiki.

Akiongea na ITV, Kwenye Kipindi Cha Mtiti Wa Uchaguzi,Lyimo Mgombea urais kupigia TLP amewaasa CCM wayaongoze Mabadiriko.

Mgombea Huyo Wanasema Mabadiriko Yakiwaongoza CCM basi Kilichoko Mbele ya Taifa ni Machafuko Makubwa Haijawahi Kutokea.

Limo Wanasema CCM wakijidanganya Kutotenda Haki..Hata ulimwengu uyashangaa Machafuko.

CCM kung'oka ni Lazima na Hakuna Namna yoyote Ile.

Nyumba Ikishika Moto. Siku zote Kwenye Nyumbani na Hata Majirani watajitutumua Kuuzima Motto, Lakini Kama Paa Limeshika Moto Sio rahisi kuuzima Moto na Ni Ndoto Kuiokoa.

Motto Umeshashika Paa la Nyumbani ya CCM, Juhudi zozote, owe fedha, Nguvu or Mabavu Hakuna dalili za Kupona.

Nimemuona ITV anasema kutatoke vita endapo upinzani hautashinda, pia kaskazini imetoa watu watano yeye,sumaye,lowasa, mbatia na mbowe kwa hiyo lazma rais atoke kaskazini. Ni mpuuzi mno anaongelea ukanda sana na vitisho eti patachimbika, yeye na ukawa wajiandae kupata ziro, ndio wastaafu kwa kufa vzr. Wapigadili wakikutana itv story hunoga sana.
 
Mgombea Urais kutipia chama cha TLP, Macmilian Lyimo amedai tendo la kukimbiza moto(mwenge) ni kuweka agano na shetani ambalo linakufa safari hii.Mabadiliko hayepukiki.

Akiongea na ITV, Kwenye Kipindi Cha Mtiti Wa Uchaguzi,Lyimo Mgombea urais kupigia TLP amewaasa CCM wayaongoze Mabadiriko.

Mgombea Huyo Wanasema Mabadiriko Yakiwaongoza CCM basi Kilichoko Mbele ya Taifa ni Machafuko Makubwa Haijawahi Kutokea.

Limo Wanasema CCM wakijidanganya Kutotenda Haki..Hata ulimwengu uyashangaa Machafuko.

CCM kung'oka ni Lazima na Hakuna Namna yoyote Ile.

Nyumba Ikishika Moto. Siku zote Kwenye Nyumbani na Hata Majirani watajitutumua Kuuzima Motto, Lakini Kama Paa Limeshika Moto Sio rahisi kuuzima Moto na Ni Ndoto Kuiokoa.

Motto Umeshashika Paa la Nyumbani ya CCM, Juhudi zozote, owe fedha, Nguvu or Mabavu Hakuna dalili za Kupona.

Hajakosea mwenge ni alama ya shetani na inasimama baadala ya lusifer mkuu
 
History: Flame and torch
The ancient Greeks believed that fire was given to humankind by Prometheus, and considered fire to have sacred qualities. Mirrors were used to focus the sun's rays to ignite flames that would burn perpetually in front of Greek temples. Greek rituals also included torch relays, although this was not actually part of the Olympic Games.

Asante kwa kwa kuwaelewesja watu juu ya mungu wa molek. Molek ni miungu wa moto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom