mgombea Ubunge ARUMERU aahidi kujenga reli

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Leo Mgombea wa chama cha SAU huko Arumeru akihutubia mkutano wa kampeni uliokuwa na watoto na watu wengine kiduchu ameahidi kujenga reli ya kutumia makaa ya mawe ya Liganga,akiongea kama anapiga stori kijiweni na masela wake!! Wakuu hivi hawa wagombea wamelipwa kugombea au haiingii akilini kabisa nnnamshaka na utitiri wa wagombea wengine kuna walakini hapa! Source TBC na wamempa airtime kweli!!!!
 
Nilifikiri ni Nasari ametoa hiyo ahadi! Kumbe mtu wa SAU!
 
Back
Top Bottom