Mgogoro wa Kuchinja Wanyama Wachungaji Wameanza kukusanya Kati Za CCM Madhabahuni!!!!

Ni aibu kama Watanzania wanadai haki zao za kidini kwa kuchinja,miaka yote hiyo iliyopita mlikuwa hamjaona tu hizo aya zinazoharamisha kula nyama iliyochinjwa na wasiokuwa dini zenu? Vyama vinaingiaje hapa ktk suala la dini? Au mnataka kutuaminisha kuwa siasa za nchi hii zinataka kuendeshwa kwa matabaka ya kidini kama wenzetu Kenya walivyoamua kujikita na ukabila? SIASA ZETU ZINATIA KICHEFUCHEFU.Basi tuamini kumbe suala hili limepangwa nyuma ya pazia kuna zimwi la siasa limejificha.
 
wakristo tukimaliza kuchinja kama tunavotaka basi....tuwe na dala dala zetu kwani dereva muislam asubuhi akishika usukani husema bismillahi kama anavosema wakati wa kuchinja, pia tuwe na maduka yetu kwani pia hawa waislam wafunguao maduka husema bismillahi kama wanapo chinja
na pia tusipande taxi zao, tusikodi nyumba zao....tusimalizie hapo tu ...bali tukialikwa na waislam tusinde....akifa muislam tusiende pia kwani tunashiriki ibada ya mazishi ya kiislam....na ikiwezakana tusiajiriwe na makampuni ama ofisi za kiislam kwani humo ndani waanabandika picha za Quraan na hufungua offisi zao wkisema bismillahi
Ama baada ya hapo tutakuwa tumeokoka na bwana yesu atatupokea na kutusamehe dhambi zetu..aleluyaaa

Una undugu na mkuu-ndugai, manake alipozidiwa hoja na Lissu akaanza kutoa comparison za kujitumbukiza kwenye upotofu eti "mbona mnyika amedesa kwenye ......" eti ili iwe halali kwa mwigulu nchemba kunyofoa riport nzima ya kamati na kuifanya eti hoja binafsi, shame!!!! (msomaji aelewe maana ya "mbona")
 
Wacrsto waseme tu wazi, kuwa wanakiunga mkono CDM. Kuzunga kote ya kazigani? Wote tunajua CDM ni sauti ya kanisa. Lakini watambuwe Tanzania waislam ndio wengi, kwahiyo wanaji danganya tu madarakani hawataingia ngoo. Nibora shetani unae mjua kuliko malaika unae msikia.

Nani kakudanganya ?you are just 35 percent ua unamsikiliza kichaa shehe ponda
 
Kumbukeni wakati wa utawala wa A.Mwinyi waislamu walianzisha move ya kutaka kuyaondoa mabucha ya nguruwe katikati ya town wakianzia na kigogo, Alhaji Mwinyi alihutubia taifa na kutoa RUKSA, Akisema (uigize atamkavyo mwinyi) "anayetaka ku kula churaa hayaaaa, anayetaka anyetaka ku ku kula nguruwe hayaaaaaa ruksaaaaaa"
nakumbuka lissu alivyokuwa akimpa za mbavu ndugai kwenye mdahalo alisema (kwa taathira) bunge limepaswa kuwa na kumbukumbu ya hukumu zilizowahi kutolewa bungeni ili iwe rahisi kurejea ikitokea similar case, mimi naongeza, kama ilivyo mahakama na iwe kwa bunge na serikali halikadhalika. kwa mtizamo huu ilipaswa jk alihutubie taifa na kuwaambia wananchi ya kuwa mwenye kutaka kuchinja na achinje, mwenye kutaka kuchinjiwa na achinjiwe na mwenye kutaka kula kibudu ruksaaaaaaa!
Tena kwa kuongeza msisitizo awakazie waislamu kwa kuwaambia waking'ang'ania kuchinja wakubali kuwa sheria hiyo itawatoa ibadani kwani watalazimika kuwachinjia wakristo kitoweo chao maarufu a.k.a nguruwe, na endapo watagomea kumchinja nguruwe itawalazimu kutumikia kifungo maana watakuwa wamevunja sheria.

MORE THAN SIMPLE!!!!!

Hii nimeipenda sana mkuu,tena kama uhuru huo utatolewa utajikuta tumerudi mle kwa kuwa mkristo hataweza kuchinja nyama ya biashara mwenyewe,kinacholeta shida ni kauli ya serikali kuwa waislam ndo wenye haki kwani kwao ni sehemu ya ibada,kama ni sehemu ya ibada wakristo hawako tayari kushiriki ibada ya kiislamu hii ndo source ya mgogoro.Njia pekee ya kutatua ni kutoa ruksa.
 
wakristo tukimaliza kuchinja kama tunavotaka basi....tuwe na dala dala zetu kwani dereva muislam asubuhi akishika usukani husema bismillahi kama anavosema wakati wa kuchinja, pia tuwe na maduka yetu kwani pia hawa waislam wafunguao maduka husema bismillahi kama wanapo chinja
na pia tusipande taxi zao, tusikodi nyumba zao....tusimalizie hapo tu ...bali tukialikwa na waislam tusinde....akifa muislam tusiende pia kwani tunashiriki ibada ya mazishi ya kiislam....na ikiwezakana tusiajiriwe na makampuni ama ofisi za kiislam kwani humo ndani waanabandika picha za Quraan na hufungua offisi zao wkisema bismillahi
Ama baada ya hapo tutakuwa tumeokoka na bwana yesu atatupokea na kutusamehe dhambi zetu..aleluyaaa

Sasa hapo una nchi?national intigrity haiwezi kujengwa kwa kuwagawa watu kwa misingi mbalimbali.NI JUKUMU LA SERIKALI KUJENGA UMOJA NA MSHIKAMANO WA KITAIFA,nje na hapo wawapishe watu wenye uwezo wa kujenga intigrity ya taifa.
 
Dini na maisha ya binadamu vinawiana..kwa muislam kila kitu akifanyacho kwq mujibu wq Qur'an ni ibada na akifuata mafundisho ya mtume Muhammad basi hata kuongea.kutembea.kula.kulala na kila kitendo ni ibada na wakristo wafuatao yes(issa bin mariam) naye kila tendo lake lilikuwa ni fundisho la ibada. Kufa na kuzika vyote ni ibada.sasa jamani tukianza kuchimbana sijui itakuwaje manake tutafikia mpk kugawana njia za kupita ..hii ya waislam..na ile ya wakristo. .mtaa wa kina dini flani..usipande daladala ya wakristoo..usiingie soko la waislam.
TUTAJIMALIZA NA UTAIFA UTAISHA..TUTAWEKA MIPAKA MPK KWENYE TIBA MAHOSPITALINI.
 
Wacrsto waseme tu wazi, kuwa wanakiunga mkono CDM. Kuzunga kote ya kazigani? Wote tunajua CDM ni sauti ya kanisa. Lakini watambuwe Tanzania waislam ndio wengi, kwahiyo wanaji danganya tu madarakani hawataingia ngoo. Nibora shetani unae mjua kuliko malaika unae msikia.

kama shetani ni bora kwako, basi ndiye allah wako!!!
 
huu ni uchochezi wa kipuuzi...

Mbona kanisani kwetu hatujaambiwa tupeleke kadi za sisiemu?

Acheni uongo uongo wa kuchochea watu vitu visivyo.uwepo...

Usengery wa kuchinja umetuchosha.....wabongo waache upuuzi kila mtu na achinje kwa imani yake kama vipi muache kununua nyama mabuchani wala kula nyama mahotelini kwa miezi mitatu muone
 
Wacrsto waseme tu wazi, kuwa wanakiunga mkono CDM. Kuzunga kote ya kazigani? Wote tunajua CDM ni sauti ya kanisa. Lakini watambuwe Tanzania waislam ndio wengi, kwahiyo wanaji danganya tu madarakani hawataingia ngoo. Nibora shetani unae mjua kuliko malaika unae msikia.

na wewe hapa unaleta usengery wa kidini huna utafiti unakurupuka. Acheni usengery wa kutumiwa na wanasiasa..........
 
Namshukuru Mungu ninayemwabudu maana hajanipa masharti nini na namna yakula.
 
wakristo tukimaliza kuchinja kama tunavotaka basi....tuwe na dala dala zetu kwani dereva muislam asubuhi akishika usukani husema bismillahi kama anavosema wakati wa kuchinja, pia tuwe na maduka yetu kwani pia hawa waislam wafunguao maduka husema bismillahi kama wanapo chinja
na pia tusipande taxi zao, tusikodi nyumba zao....tusimalizie hapo tu ...bali tukialikwa na waislam tusinde....akifa muislam tusiende pia kwani tunashiriki ibada ya mazishi ya kiislam....na ikiwezakana tusiajiriwe na makampuni ama ofisi za kiislam kwani humo ndani waanabandika picha za Quraan na hufungua offisi zao wkisema bismillahi
Ama baada ya hapo tutakuwa tumeokoka na bwana yesu atatupokea na kutusamehe dhambi zetu..aleluyaaa

Hata wao wenyewe pamoja na hizo bisimilayi zao hawapendani, angalia Misri, Libya, Tunisia, n.k. Ndugu yangu mchanganyiko wetu ni muhimu mno na unasaidia sana kuleta amani huko kwenye maduka yao, taxi zao, daladala zao, n.k. Tatizo sio wakristo bali tatizo ni wao wenyewe na mtu wao (mkuu wa kaya). Lakini waelewe wamewasha moto ambao kuuzima kwake lazima ije iwagharim. Tusubiri!
 
wakristo tukimaliza kuchinja kama tunavotaka basi....tuwe na dala dala zetu kwani dereva muislam asubuhi akishika usukani husema bismillahi kama anavosema wakati wa kuchinja, pia tuwe na maduka yetu kwani pia hawa waislam wafunguao maduka husema bismillahi kama wanapo chinja
na pia tusipande taxi zao, tusikodi nyumba zao....tusimalizie hapo tu ...bali tukialikwa na waislam tusinde....akifa muislam tusiende pia kwani tunashiriki ibada ya mazishi ya kiislam....na ikiwezakana tusiajiriwe na makampuni ama ofisi za kiislam kwani humo ndani waanabandika picha za Quraan na hufungua offisi zao wkisema bismillahi
Ama baada ya hapo tutakuwa tumeokoka na bwana yesu atatupokea na kutusamehe dhambi zetu..aleluyaaa
ha ata wewe unazungumza utumbo kama huu?
 
Wacrsto waseme tu wazi, kuwa wanakiunga mkono CDM. Kuzunga kote ya kazigani? Wote tunajua CDM ni sauti ya kanisa. Lakini watambuwe Tanzania waislam ndio wengi, kwahiyo wanaji danganya tu madarakani hawataingia ngoo. Nibora shetani unae mjua kuliko malaika unae msikia. kweli kosa mali upate akili; hapa ndo mwisho wako wa kufikiria?? POLE
 
Ujinga wao waislamu wapeleke huko huko ZNZ na Geita Wakija Arusha . Itakula Kwao Hakuna rangi wataacha ona... Tutauwa wote
 
Wakristo wameweka msimamo na sasa wameamua kuchukua hatua zaidi juu ya kulazimishwa kuchinjiwa Wanyama na Waislamu ,suala ambalo wanapinga kuwa ni kulazimishwa kumuabudu mungu wa Waislamu.

Serikali imeomyesha kimya na kuogopa kutoa msimamo kwa kuhofia hali ya kuanguka madarakani kwa kuwa tayari Rais alishamtuma Wasira baada ya RC kutoa maelezo ya awali. Leo ni vigumu Pinda akaenda kinyume na Wasira na Kikwete .
Hii ndo sababu imeanzishwa move ya kukusanya kadi za CCM na kuziwasilisha Madhabahuni kabla ya kutoa Sadaka.

Kwa kuwa CCM ni chama tawala , na ndicho kinacho walazimisha Wakristo kuchinjiwa Wanyama na Waislamu hivyo wanao ona kusiwepo unafiki wa kukaa na kadi za CCM zenye mlengo wa kuwagonganisha kiimani!!
Haya yame anza Chato Geita na sasa yanasambaa Mbeya na kukingeneko.
Serikali ichukue hatua kunusuru udini kwa kuzingatia katiba vinginevyo udini huu utawatafuna walio uanzisha na kuhutubia Bungeni!!!

Kesho ni ni jumapili mambo mengi yatakuwa makanisani!!!!!!!!!!!
Nakumbuka Wasira aliutaka Ushahidi wa bible juu ya Wakristo kuchinja na kukomea nyama zinazochinjwa na Waislamu :
Matendo 10:12 Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao na ndege wa angani. 13 Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.” 14 Petro akajibu, “La Bwana! Sijakula kamwe kitu cho chote kilicho najisi.”15 ile sauti ikasema naye tena mara ya pili, “Usikiite najisi kitu cho chote alichokitakasa Bwana.”

tena

Mwanzo 9:3 Kila kitu chenye uhai kiendacho kitakuwa chakula chenu. Kama vile nilivyowapa mimea mbalimbali, sasa nawapa kila kitu. 4“Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai.

1 Wakorintho 10:27-29; Na mtu aisiyeamini (katika Kristo) akiwaalika, nanyi mnataka kwenda, kuleni kila kitu kiwekwacho mbele yenu bila kuulizauliza, kwa ajili ya dhamiri.

28 Lakini mtu akiwaambia, "Kitu hiki kimetolewa kiwe sadaka", msile kwa ajili yake yeye aliyeonyesha na kwa ajili ya dhamiri.

29 Nasema dhamiri, lakini si yako, bali ya yule mwingine. Maana kwa nini uhuru wangu uhukumiwe na dhamiri ya mtu mwingine?

My Take:
Kama Serikali inasema kuwa Waislamu ndio walikuwa wanachinja tangu Mwanzo , ni vema weka wazi ni mwanzo upi?? .Historia inaonyesha dini ya Uislamu imekuja miaka 600BK na wakati wote wa Kanisa la Kwanza kulikuwa ni Ukristo na Wapagani hapa TZ , Waislam wameingia na kuwakuta Wakristo wakiwa na mazoea ya Kuchinja Wanyama!!!
Waislamu walieneza dini yao kwa njia ya JIHAD na Shali hadi leo wanaendelea kufanya hivyo.Kama ni uvumilivu wa dini basi Wakristo ni wa Kupongezwa Sana!!! Wamechomewa Makanisa na Waislam lakini hakuna hata msikiti mmoja uliochomwa na Wakristo.
Serikali isitatue mgogoro huu kwa kuwatumia watu kama Wasira ama watu waliosirini tani ya Serikali wasio amini dini mbele huko moto unakuja!!!
Itajulikana yupi ni Mungu ktk Tanzania!!!! Kumbuka suala la Mtwara!!! Kulikuwa na mazoea ya kuwanyanyasa Wamakonde lakini leo wameamushwa na Mungu !!! Kuna Askofu alihubiri kuwa Mwaka 2013 ni Mwaka wa UAMUSHO!!!Take it from me!!!!!!!

up date
PINDA ayakoroga tena Mwanza kuhusu nani achinje
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitowe.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.

Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.

King Cobra, sababu kubwa ni kwamba nchi yetu imeshehekea jubilee miaka 50 ya uhuru and the nation has been reborn. In the bible ktk jubilee kuna kufanyika upya, kuanza upya, mtazamo mpya, there is rejuvination ya akili na ufahamu. Na huu ni mwanzo yatakuwepo mengi ambayo watu watadai haki zao
 
Yeye achinjaye ng'ombe ni
kama yeye amwuaye mtu; na
yeye atoaye dhabihu ya
mwana-kondoo ni kama yeye
avunjaye shingo ya mbwa; na
yeye atoaye matoleo ni kama
yeye atoaye damu ya
nguruwe; na yeye afukizaye
uvumba ni kama yeye
abarikiye sanamu; naam,
wamezichagua njia zao
wenyewe, na nafsi zao
zafurahia machukizo yao.
Isaya 66:3
 
Hakuna kulemba la maana wakristo wooote kurudisha kadi za ccm tujue moja na 2015 watajua kwa kutokea. Hatuna haja ya kugombana tunaweka mkristu anaruhusu kuchinja udini kwa sisi wakristu tu kwao hakuna udini
 
Back
Top Bottom