Mgogoro kutokea UKAWA

Umetumwa wewe, we mwenyewe umepewa rushwa kuandika hili kama sio kuahidiwa kiongoz wa kijiji. Dhamira yako ikusute, tena ufe kabla ya uchaguz kwa kusema uongo na uchonganishi.
 
Ukweli utabakia kuwa ukweli, kama sio chadema wanawaburuza wale wote wasio jitambua.Kama upo makini jiulize Dr Slaa na Mnyika KWA NN WAPO KIMYA THIS TIME? ewe bodaboda jitambue na uchukue hatua wenye chama washachukua kilicho chao.
 
Hongera mamvi kwa kuwa na timu kubwa ya wapumbavu wanaopinga hoja kwa uharo, malofa sana, pumbavu.
 
Safi sana mleta mada umechambua kama karanga na yote uliyoyachambua ni kweli tupu na yatakuja kutokea wala sio mbali muda utatuambia. Nashukuru JamiiForums ina faida moja kubwa ambayo ni kuhifadhi mada hizi...kwasasa hii movie bado haijaanza ikianza tu nitaitafuta hii mada na kuianzisha tena!
 
Vyama vyote vilivo na viongozi wenye uchu wa madaraka ni shida.
 
CCM ongezeni spidi wanaichi wanaojitambua wanathamini mchango wa serikali sikivu.
 
Vijana wengi chukueni hatua na kamwe msidanganyike na watu wote wenye kutaka madaraka kwa kutumia gharama na unyonge wetu.
 
Nilipoanza kusoma nilidhani mtu wa maaaana kumbe ni jamaa amekimbia milembe,,,nchi inataka.mabadiliko ndugu yangu,,,ukisikia magufuli utacheka anavyomponda kikwete
 
Tuna hasira na ccm hata uongee nini hatutakuelewa tumechoka na ccmuuuuuuuuu mbona we mgumu kuelewa ???
 
Ufafanuzi tafadhali kuhusu huyo mzee Chizii, mshauri wa kisiasa kuhusu Lowasa.

Kama hutajali tuanikie wasifu wake hapa.!
 
Mwaka huu hata msiojua kuloga mmeamua kujifunza kuloga! Povu limekujaa mpaka unatia huruma! Umeingia jf hivi karibuni kabisa kwa lengo la kuleta uchawi wako humu! yaani umeingia jf kwa lengo la kumchafua Lowasa! Hao wachafu huko chama cha magamba hauwaoni? Nani kakwambia chadema lengo lao ni kugawana vyeo? Lengo la chadema ni kuing'oa ccm madarakani! Na hilo litatimia! Lowasa akichukua vyeo wewe haikuhusu! Kwani anachukua vyeo vya ccm? sasa makelele ya nini? Mwaka huu mapovu yatawaishia mpaka mtatoa nyongo! Go Lowasa go!!!!!!
 
Back
Top Bottom