Mgao wa umeme umekuwa Janga

Tabora usiseme.unawaka unazima.unawaka unazimaaaaaaaaaaaa kisha unawa baada ya hpo ndo ivo mpk ths moment. jana ndo ilikua balaa
 
Ukarabati wa miundombinu usiku wapuuzi sana.. wawe wawazi ili watu wajipange wajur huo ukarabati utaisha lini ma ratiba yake.
 
watanzania bhana kila kitu mnalalamika na wakati vingne vinatatulika.dogo nunua sola ya mil3 hutakuja waza maswala ya umeme wa mgao.
 
Hapa tulipo umeme hakuna hata mende akiingia kwenye bia huoni. Tanesco nini shida.
 
watanzania bhana kila kitu mnalalamika na wakati vingne vinatatulika.dogo nunua sola ya mil3 hutakuja waza maswala ya umeme wa mgao.

Mdau umeongea point,mi nimeapa mwez huu unaokuja lazima lazima niweke solar,manake hii ni kero,hivi mdau mi nataka solar ya taa km10 na tv tu je itanigharimu kias gani kuweka solar??
 
Back
Top Bottom