Mganga mpya wa Chelsea atoa dawa ya ushindi vs Barca

Bujibuji sasa iko ganga toka Bombay.
India soka kusney, how come mganga wa mpira atokee kusiko na mpira?

Bujibuji....mganga hawezi kutoka Ulaya, na wa waganga wa Africa ni matapeli
Ktk hiyo dua, mganga alisema 50-50 na ikawa kweli(Droo) na akamtaja na Messi kuwa hatofunga goli na ikawa Kweli
mpaka Messi amekosa na Penalt !!!
 
Last edited by a moderator:
View attachment 52551
Tumeamua kutafuta mganga mpya kwa sababu ya mechi ya leo,tumepata mganga wa kihindi na kasema mechi ni 50-50 na katupa dua ili Chelsea washinde. Kama ww mpenzi wa Chelsea tunaomba usome hii dua mara 7: Jahunga meri namtihe Chelsea shamtuha hamare pyar babuji kyahuwa Barcelona kemcho janduha tumneiye pyantire Chelsea gujimara pyarire manare yatire yatire yatire jahunga sanjahe kemcho janhunga shantire Lionel Messi

Yaani amesema ukweli mtupu...duh hii kali
 
Back
Top Bottom