Nilikuwa naenda kwenye maombi huko. Sijui nini kimenipata siku hizi nimekuwa mtu wa zinaa balaaKikatiti mkuu
ulifunga ili iweje?Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Kama mimi tu mkuu, sijui nini kimenikuta nilikuwa kijana safi sana miaka ile, nilikuwa kijana wa kuigwa sana pale Tengeru.Nilikuwa naenda kwenye maombi huko. Sijui nini kimenipata siku hizi nimekuwa mtu wa zinaa balaa
Alafu ndiyo ilikuwa mitaa yangu. Niliishi Sing'isi miaka 3 kabla ya kuhamia majia ya chaiKama mimi tu mkuu, sijui nini kimenikuta nilikuwa kijana safi sana miaka ile, nilikuwa kijana wa kuigwa sana pale Tengeru.
Yah! Sing’isi na Tengeru panatenganishwa tu na ule mto, ni majirani kabisa.Alafu ndiyo ilikuwa mitaa yangu. Niliishi Sing'isi miaka 3 kabla ya kuhamia majia ya chai
Angalau angetumia majiKuna jamaa yangu alijaribu kufunga wiki bila kula Wala kunywa chochote baada ya siku 4 akawa taabani ikabidi apelekwe Zahanati kushtuka drip zinatembea tu.
Khaa!huu uzi ufutwe
Atudanganye tuLengo la huo mfungo ni nini?