IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,184
- 7,823
Very well said.... Tumeambiwa kwenye Kuraani.... Itafuteni elimu hata ikibidi kwenda mpaka China, kwa hakika mola wetu ni mjuzi wa kila kitu....Leo ndo nimeamini kuwa wengi mnaoshabikia CCM mmeachwa mbali sana kiufahamu na Dunia hii ya leo iliyojaa ushindani na inayokimbia kwa kasi kubwa na tukienda kwa mwendo huu wa kiuelewa kama huu wa watu wa CCM hakika tutaachwa nyuma sana na wenzetu.Mr SUMU nadhani hujaelewa kile alichokuwa ana maanisha JAMAA hapo juu na hili ndo tatizo lenu kubwa Makada wa CCM,MADA hamuijui mnaivamia tu badala ya kuuliza ili muelimishwe.Jamaa ilibidi atoe mfano wa kwenda South Africa ili ukajionee kwa macho yako namna huo Mfumo unavyofanya kazi kule.Wakati mwingine kukaa sehemu moja tuuuu ni hasara kwasababu Upeo wako wa Kiuelewa kuhusu mambo ya Siasa,Utawala na Uchumi unakuwa limited sana hauwezi kufikiri nje ya box kabisa.