Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

Sumaye alikuwa ni PM

Lowassa alikuwa ni PM.

Ukawa tulikuwa tunauchukia mfumo wa serikali ya ccm...ambapo ukimtaja mtendaji mkuu unamuongelea waziri mkuu.

Ule ukombozi dhidi ya mfumo ndio huu??

Sasa kama mfumo ule ule unarudi basi safari hii tuwape Ukawa!Si walewale basi tubadili upepo
 
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.

Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.

Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.

Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.

Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.

Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.

Dawa yao ni kuwatosa tu.
Utawatosa wewe, lakini SISI tutawapa hivyohivyo
 
Sumaye aliacha thamani ya hela kwenye ubora wake alafu hana madaraka pale ila CCM tukiwaacha hali ni mbaya zaidi naimani watahalalisha hata RUSHWA hapa nchini dawa ni kuwatoa hata kwa namna yeyote, uwizi wao wa kura wataenda ICC Mwaka huu
 
Ikulu hatufugi ng;ombe waende tu kugawana vyeo ulitumikia taifa kwa miaka kumi lakini bado hukuridhika mbona hampendi kupumzika jamani:mvutaji::mvutaji::mvutaji:
 
Wewe unaonaje?

naona kama maji ya mezidi unga , bora unywe uji !! ila karibu mkuu tujenge nchi mpya ndani ya UKAWA hawa waliokuja hawana tatizo, unapokwa kwenye genge la wahuni na wewe ni mhuni, na matumaini sana na UKAWA.
 
Ikulu hatufugi ng;ombe waende tu kugawana vyeo ulitumikia taifa kwa miaka kumi lakini bado hukuridhika mbona hampendi kupumzika jamani:mvutaji::mvutaji::mvutaji:
Tuliyeni dawa ya mchwa iwaingiye!!
 
Sumaye alikuwa ni PM

Lowassa alikuwa ni PM.

Ukawa tulikuwa tunauchukia mfumo wa serikali ya ccm...ambapo ukimtaja mtendaji mkuu unamuongelea waziri mkuu.

Ule ukombozi dhidi ya mfumo ndio huu??

We mngese we ni ukawa kwanzia lini?,unapoteza muda huku mtandaoni ukizani utabadili mawazo ya mtu , umefeli haturudi nyuma kamwe. Kima wewe
 
kinachohitajika kubadilishwa na UKAWA ni mfumo sio watu..
kwani hata hao akina Slaa walikua hukohuko lakini sasahivi wanapigania mabadiliko ya mfumo.
 
Sumaye aliacha thamani ya hela kwenye ubora wake alafu hana madaraka pale ila CCM tukiwaacha hali ni mbaya zaidi naimani watahalalisha hata RUSHWA hapa nchini dawa ni kuwatoa hata kwa namna yeyote, uwizi wao wa kura wataenda ICC Mwaka huu
Kweli kabisa maccm yanagawana pesa kwenye sandarusi sandaruri naviroba pesa za umma huku mama zetu na wadogo zetu wakifa kwakukosa dawa zakawaida kabisa!!
Hawa mchwa inabidi tuwamwagie dawa mapema wafe lazivyo watoto wetu watakuja kuishi maisha ya utumwa sana!!! Hawa mchwa wameuza madini na wanyama sasa mbaya zaidi wanauza adi aridhi amboyo tunategemea kulima na kujifariji na kipato kidogo tukipatacho hawa mchwa wameona haitoshi wameanza kuuza kweli sitakubali hawa mchwa warudi madarakani !!
 
Duuh waje tuu aisee,izi kero zipungue maana vitu vipo ghari sana na hawalizungumzii..swala lilipofikia cccm watoke tujenge nchi yetu..
 
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.

Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.

Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.

Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.

Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.

Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.

Dawa yao ni kuwatosa tu.

Kama ndiyo mawazo yako, acha huo mfumo urudi kupitia UKAWA na tutaukubali lakini siyo ukiwa.CCM.

Period.
 
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.

Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.

Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.

Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.

Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.

Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.

Dawa yao ni kuwatosa tu.
Waliokuwa wapigwa kuwa ni mafisadi leo hii ni malaika, huu ni upumbavu wa hali ya juu na UKAWA WAMETIA FORA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom