Mfaume Kizito ( N,Katibu Uvccm bara )... Ccm ikitetereka, watanzania watatetereka.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Naibu katibu mkuu wa uvccm bara bwa Mfaume kizito, akiongea na vyombo vya habari leo amesema, nanukuu " Chama cha mapinduzi kikitetereka, na tanzania ( Watanzania ) watatetereka " Mwisho wa kunukuu. wadau, mnaionaje hii..?? source: ITV habari.
 
huo ndo mwisho wa upeo wake wa kuona na kufikiria. haoni nje ya gamba la chama chake kinachokufa kwa kasi. maisha yatakuwa raha mstarehe bila hili chama la mafisadi.
 
Pole zake mwani hana habari sisiem ina miaka mingi tu imetetereka, na watz tunadunda. TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA
 
Naibu katibu mkuu wa uvccm bara bwa Mfaume kizito, akiongea na vyombo vya habari leo amesema, nanukuu " Chama cha mapinduzi kikitetereka, na tanzania ( Watanzania ) watatetereka " Mwisho wa kunukuu. wadau, mnaionaje hii..?? source: ITV habari.

The Ill Discoverer who think that there is no ocean where there is absence of Island
 
Back
Top Bottom