Mfanyakazi wa ITV afariki dunia

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,767
4,035
Nimepata habari toka kwa rafiki yangu kuwa mpiga picha wa ITV - Arusha aliyemtaja kwa jina moja la Abuu anayefanya kazi na Mwanaid Mkwizu alipata ajali jana na kufariki maeneo ya mwanga.
Tunaomba kama kuna mtu wa karibu naye au mtu mwenye habari zaidi atujuze.
 
Back
Top Bottom