Mfano mdogo wa kwanini serikali inakosa fedha

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
wakuu kuna haya makampuni ya utalii ya kigeni kule arusha, haya makampuni yanafanya usanii wa kufa mtu,

1. Hayana akaunt za mapato huku Tanzania, kuna akaunt za matumizi tu.

1. Booking zote na payment zote hufanywa hukuhuko MAREKANI, ulaya na ASI, huku wageni huja kutalii tu.

2. Akaunt zao haziko tanzania, ziko kwao huko usa na ulaya, huku tanzania kuna akaunt za mataumizi tu, mfano mafuta ya magari na kuwalipa mishahara wafanyakazi

3. Tra inaweza vipi kujua kodi wanayo dai kwenye haya makampuni wakati akaunt zao na payment pamoja na booking hufanywa nje ya nchi? Ni njia gani wanatumia tra kukagua hizi kampuni za watalii?

4. Na si kwamba serilaki haijui, no inajua sana haya ila ni ishu za ufisadi, make kuna vigogo na wao wamepewa share

5. Huku tanzani watalii huja na pesa za kununua vinyago tu, ila malipo mengine ya usafiri na kila kitu yanakua yameishwa fanywa hukohuko kwao na makampuni.


Kwa nini serikali isifilisike?
 
No! This is too much! Kila kona kunavuja tu, hata sehemu tusizodhani.
 
Back
Top Bottom