Mfalme wa oman asili yake Tanzania

mgadafi

Member
Feb 27, 2012
54
18
naona kumekuwa mada nyingi dhidi ya warabu ,mwangalie mfalme wao kabila lake ni al. busaid. kwa waliowahi kuishi kigoma ujiji kuna sehem inaitwa busaid na huko ndiko walipo toka mababu zake. Ukienda oman kuna mji unaitwa salalah huko utakuta watu wenye asili ya tanzania i mean black kama mnavyowaita waarab weupe hao wanamaisha mazuri kuliko hata wanaoishi muscut, na wao wanaaminika kuwa na utajiri 58% ya utajiri wa oman je swali kwa wanaowalani waarab lini tv yoyote ilionesha wanabaguliwa,na asieamini kama mfalme wa oman ni black unaweza tafuta picha yake kwenye google
 
Sardar Nabil Gabol with the King of Oman - YouTube
 
OMAN.jpg

WA KUSHOTO NI MWEUSI KAMA Zitto?
 
So what??
naona kumekuwa mada nyingi dhidi ya warabu ,mwangalie mfalme wao kabila lake ni al. busaid. kwa waliowahi kuishi kigoma ujiji kuna sehem inaitwa busaid na huko ndiko walipo toka mababu zake. Ukienda oman kuna mji unaitwa salalah huko utakuta watu wenye asili ya tanzania i mean black kama mnavyowaita waarab weupe hao wanamaisha mazuri kuliko hata wanaoishi muscut, na wao wanaaminika kuwa na utajiri 58% ya utajiri wa oman je swali kwa wanaowalani waarab lini tv yoyote ilionesha wanabaguliwa,na asieamini kama mfalme wa oman ni black unaweza tafuta picha yake kwenye google
 
Wakiwapa TENDE zawadi mnaanza kulalama.Kumbe ni zawadi kutoka kwa kaka zenu.
 
Basi atakuwa mkongo maana kama alitokea kigoma, asilimia kubwa ya watu wa kigoma walitokea kongo au burundi
 
ila twende mbele turudi nyuma 50 cent ni mmachinga kabisa kwao pale nangulukulu mbele kidoogo hata nduguze wangi bado wapo pale
 
son alishazushiwa kuwa ni Mbongo tena from Dodoma...

Mpoki ni Mwarabu Mweusi wa Dubai..

Na Wale Wahindi Weusi nao Asili yao ni Wapi?
 
Back
Top Bottom