Mfahamu Popo Bawa

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,125
1,922
Asili ya popobawa ilianza baada ya shehe Muunguja mwenye hasira kutoa jini ili kulipiza kisasi kwa majirani wake, lakini alipoteza mamlaka ya jini ambalo lilichukua mwenendo wa kishetani. Jini hilo lililokosa mwelekeo likabadilika kuwa dubwana mwenye jicho moja na sura ya kutisha sana na mabawa kama ya popo na dhakari kubwa sana.

Popobawa anasemekana kuwa tafsiri ya Kiswahili ya inkubu na ni kibadilisha-umbo kinachoweza kugeuka na kuwa binadamu kamili au umbo la popo. Popobawa hutembelea makazi usiku. Uwepo wake huangazwa na sauti ya kucha zinazokwaruza paa na harufu kali ya salfa.

Popobawa hushambulia mabasha wa kiume vitandani mwao wanapolala na kuwalawiti hadi saa moja huku wamefinyilia uso wao sakafuni.Wahasiriwa hutishwa kwa mashambulizi marefu zaidi na ya kurudiwarudiwa iwapo hawataeleza marafiki na majirani wao kuhusu tajiriba yao.

Ref: Popobawa - Wikipedia
 
Attachments

  • Popobawa.jpg
    Popobawa.jpg
    64 KB · Views: 11

Ooof! Mnaleta tena hekaya za Abu Nuwas al-Hasan ibn Hani al-Hakimi siyo?
 
Unato.......... na Popobawaaaaa😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom