A ayesigamwemezi Member Aug 3, 2016 97 48 Oct 12, 2016 #62 Mwanapropaganda said: Aisee! Click to expand... Rip masaburi
92mtl JF-Expert Member Jul 7, 2016 461 308 Oct 13, 2016 #63 kafa na dhambi ya kutusi bila kuomba radhi jaman daaah EL ata huzunika sana
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Aug 19, 2014 4,235 2,501 Oct 13, 2016 #64 92mtl said: kafa na dhambi ya kutusi bila kuomba radhi jaman daaah EL ata huzunika sana Click to expand... Alimtusi nani na ni tusi lipi hilo?
92mtl said: kafa na dhambi ya kutusi bila kuomba radhi jaman daaah EL ata huzunika sana Click to expand... Alimtusi nani na ni tusi lipi hilo?
dgeorge Senior Member Sep 21, 2016 105 67 Oct 13, 2016 #65 Jamani tumwombee mzee Masaburi ameshatangulia mbele za haki ameshamaliza kazi yake duniani bado mimi na wewe hatujui mwisho wetu!
Jamani tumwombee mzee Masaburi ameshatangulia mbele za haki ameshamaliza kazi yake duniani bado mimi na wewe hatujui mwisho wetu!
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 80,913 93,663 Oct 13, 2016 #66 hatunaye kuanzia Leo, Ben aliotoa na Bwn ametwaa, jina lake lihimidiwe. amen
J Jakasaye JF-Expert Member Aug 31, 2016 302 503 Oct 13, 2016 #69 Kwani UDA Saga imeisha? Hajasema chochote kabla ya kukata roho?