Meya Issaya Mwita atinga ofisini kuendelea na kazi

MHE.Mwita bado ni Meya kihalali pamoja na mbinu chafu za Kimakama kwa maelekezo toka juu! Punguza mahaba na CCM watakuja kugeuza asusa.....Ohoo!!.We endelea kujilegeza na kurembua mimacho!So try to be vigilant and careful!
Mahaba yako kwa Chadema usihamishie kwangu, tukutane Jtatu nitakuwa getini kumpokea Meya Mwita na uone navyojua kurembua macho😂😂
 
Huyo jamaa sijui Mwita mbishi sana, na hapo hatujawapa madaraka makubwa bado, hivyo kila siku wanazidi kutudhirihishia kwamba chadema ni wrong people kuongoza hii nchi.

Low IQ!

Kwa hiyo haki zikikiukwa wakubali tu, ili isionekane wanang'a ng'ania madaraka?
 
Waliomuondoa ndio wanaomlipa, nahisi watakataa kumlipa mshahara kwa kisingizio cha kwamba kasha fukuzwa.

Lakini niulize, kuna faida gani kumtoa leo? na kunahasara gani wakimuacha akamaliza muda wake?
Wakimwondoa watafanikiwa kula zile pesa SImon Group alizonununa hisa za UDA Kinyemela.SHida ndo iko hapo hasa
 
Mahaba yako kwa Chadema usihamishie kwangu, tukutane Jtatu nitakuwa getini kumpokea Meya Mwita na uone navyojua kurembua macho😂😂

Ww endelea kujifanya kifaurongo tu,,,!!
Lakini ninachotaka kukuhakikishia ni kuwa moja ya siku hizi Utakufa kiukweli,utazikwa na kusahaukika milele...!!
 
WANA CHADEMA, matusi ndio asili yenu na jeuri za kipumbavu ndio jadi yenu.Wananchi tunawajua hivyo.Na m'mbwa ukimjua jina lake hakupi taabu.Mtapata taabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna wengine hapa hatuna chama chochote hapa..!!
Tunachotaka hapa ni kuona HAKI inatendeka na Utawala wa Sheria unazingatiwa.
Kati na CCM na CHADEMA nani mwenye jeuri za kipumbafu na kulazimisha mambo hata ambapo hapana stahili? Ving'ang'anizi wa madaraka nchi hii ni CCM. Kuna chaguzi nyingi tu kote Bara na Visiwani mmewahi KUSHINDWA lakini mnalazimisha kuendelea Kutawala kwa kubadilisha matokeo kwa kutumia TUME ISIYO HURU mkisaidiwa na POLICCM na TISSCCM...!!The world over knows that. Lakini jambo moja ni hakika ipo siku isiyo na jina CCM watang'oka madarakani tu haijalishi watatumia mbinu gani..!!
 
Huyo jamaa sijui Mwita mbishi sana, na hapo hatujawapa madaraka makubwa bado, hivyo kila siku wanazidi kutudhirihishia kwamba chadema ni wrong people kuongoza hii nchi.

Low IQ!
Hongera sana wewe ni miongoni mwa watu wachache sana wanaojitambua kuwa wana LQ na wanaweza wakajitangaza bila aibu!
 
Huyo jamaa sijui Mwita mbishi sana, na hapo hatujawapa madaraka makubwa bado, hivyo kila siku wanazidi kutudhirihishia kwamba chadema ni wrong people kuongoza hii nchi.

Low IQ!
pumbaaaavu zako analysis za shule gani hizo? mandela angekuwa na akili kama zako leo kaburu angeondoka? nyerere angekuwa na usaha kama uliojaaliwa wewe kichwani unadhani leo nchi yake hii ya tz ingekuwa hapa ilipo? yani umuonee mtu aondoke ofisini kirahisi kisa wewe na wajinga wenzio muwape nafasi ya kuongoza nchi baadae?
kwahiyo hata wakiingia ikulu wakubali tuu kuikabidhi kwa wajinga wenzio simply muwaamini
SHETANI LA KIJANI WEWE
 
Waliomuondoa ndio wanaomlipa, nahisi watakataa kumlipa mshahara kwa kisingizio cha kwamba kasha fukuzwa.

Lakini niulize, kuna faida gani kumtoa leo? na kunahasara gani wakimuacha akamaliza muda wake?
It's more of a political move ... yes, politically every thing counts
 
Huyo jamaa sijui Mwita mbishi sana, na hapo hatujawapa madaraka makubwa bado, hivyo kila siku wanazidi kutudhirihishia kwamba chadema ni wrong people kuongoza hii nchi.

Low IQ!
Wewe ndio hopeless moving figure,na wewe ni mnufaika wa dhuluma zinazofanywa na maccm,hakika wewe ni mwana wa shetani alieweka makao pale Lumumba.

Yaani unakurupuka tu kama unatoka chooni,unajua sheria na kanuni zinazo ongoza Jiji la Dar?

Nakudokezea kidogo tu,Moja ya kanuni inayoruhusu kumuondoa madarakani ni kanuni ya 84(1) inayopatikana ktk kanuni za kudumu za halmashauri ya jiji la Dar za mwaka 2014.
Hao wahuni wa ccm hawakuifuata kanuni hiyo ili kuunga mkono azimio la kumuondoa meya....

Unaposema ni mbishi sana,ulitaka awe mlenda kama maccm, ambao zimewashinda siasa mmebaki kutembea na polisi ubavuni.

Kazi mnayo wahuni nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bashite ni zero kabisa mbinguni na duniani halafu wapo wajinga fulani wanafuata ujinga wake.
Ukiambatana na kichaa ujue na wewe ni kichaa
Mayor umewapa fundisho la karne huu upumbavu ufike mwisho
 
Waliomuondoa ndio wanaomlipa, nahisi watakataa kumlipa mshahara kwa kisingizio cha kwamba kasha fukuzwa.

Lakini niulize, kuna faida gani kumtoa leo? na kunahasara gani wakimuacha akamaliza muda wake?

Akiendelea mpaka mwisho atalipwa marupurupu ya kustaafu akiwa Meya; kuna watu hilo linawauma sana.
 
Back
Top Bottom